Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
hii namba ni ya ukakika kaka, kwa mfano ukitumia nmb mobile itakuambia je unataka kutuma kwenda kwa CHADEMA,?
Thank u Paygod,
Nimetuma,nasubiri kama watanipa jibu maana wezi ni wengi bana.
hii namba ni ya ukakika kaka, kwa mfano ukitumia nmb mobile itakuambia je unataka kutuma kwenda kwa CHADEMA,?
Changia chadema
account no 2266600140, jina la account ni chadema, bank ni nmb, tumia tawi lolote, hata kama uko nje ya nchi, nenda kwenye tawi lolote la rabobank ,
au tumia namba ya simu 15710, tuma neno chadema,
asante, mchango wako ni muhimu sana.
People power
Tunashukuru kwa kuweka number live, lakini kama kuna uwezekano anayehusika aweke matangazo radioni na kwenye TV ya mara kwa mara kama ya mzee fataki vile!!!, Hii itasaidia wengi wanaopenda mabadiliko na wanajisikia kuichangia CHADEMA wafanye hivyo ki uraisi kabisa. Najua wengi hawajui hii kitu kabisa!!
hili si jipya jamani ila nimeona tukumbushane kidogo kuwa nguvu zetu zinahitajika hata kama ni kidogo kidogo kuweza .
Naona siku za karibuni malaria na mwenzie wako busy sana na vyama vyao vya kijamaa!
makadirio ya bajeti ya uchaguzi mkuu 2010
chadema inakadiria kwamba kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 itatumia kiasi kisichozidi bilioni tano; kiwango ambacho kitahusisha kampeni zote za chama kwa ujumla wake kuanzia kwenye udiwani, ubunge na urais kwa matumizi yote ya uteuzi ndani ya chama pamoja na kampeni zenyewe.
hata hivyo, chama hakina kiasi hicho cha fedha na mikakati inaendelea kuandaliwa na kutekelezwa kwa ajili ya kukusanya fedha kwa wanachama na wapenzi.
wewe changia tu; maneno kibao hata sent hujachangia