Change we believe in

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
847
CCM wamefanya kosa kubwa sana!.Sijawahi kuona mgombea ambaye anaikandia chama chake chenye kuongoza serikali kwa nusu karne huko naye akiwa moja wa waziri yapata miaka 20!.Halafu akienda katika mkutano mwingine katika kiwanja kingine anaisifia!.Hoja ya mabadiliko ni ya upinzani toka kale.Ndio maana Magufuli haueleweki.
 
Back
Top Bottom