mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,715
Habari wana jf
Najaribu kuwaza kwa kina kwanini wa Africa tuko nyuma kwa kila kitu ninapoangalia kuanzia kimandeleo ya nchi mpaka maendeleo ya MTU mmoja mmoja
Moja ya vitu vinavyofanya tuzidi kushika mkia kwenye kila jambo ni pamoja na
Hatujui kabisa kutunza muda,
Watu wengi tunaishi bila ratiba,
Hatuna displine fedha na pia wengi wetu tunaendekeza starehe na uvivu kuliko kujishuhulisha...
Lakini pia mabadiliko ya technology hususani uwepo wa mitandao ya kijamii vimechangia kutupumbaza sana .
Watu tumekua bize kubadilisha picha katika mitandao ya kijamii na kuishi maisha yasio ya uhalisia badala ya kufanya kila jitihada kutengeneza kesho nzuri ..
NOTE: mitandao ya kijamii sio tatizo ...tatizo ni watumiaji ..yani tukitumia vizur pia itaturahisishia kufanikiwa na kutimiza ndoto zetu.
Rai yangu ni
Change from profile picture to proper future