Changamoto zinazorudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya wajasiriamali Tanzania

EMMANUEL JASIRI

Senior Member
Feb 2, 2015
127
62
1.Mfumo wa kutokupeda kujifunza,sio wengi wetu wanao penda kujifunza wengi wetu tunapeda kufanya mambo bila hata kufikiria namna ya kupata maarifa ya kutosha kuhusiana nalo.

Tanzania tunayo Bahati kubwa vijana wetu wengi ambao wamepitia taarifa mbalimbali na kujisomea vitabu vya ujasilia mali toka kwa watu maarufu walio faulu katika huo,wametutafsiria toka lugha za kigeni na kutuletea kwenye lugha yetu lakini baadhi yetu tumekuwa wazito kufuatilia taarifa hizo na matokeo yake tuna babaika kwa kutokujua tufanye nini katika mambo ya uchumi,

Wa Tanzania tuamke kumiliki uchumi kuna hitaji ELIMU sio swala la kubuni buni,Kuna mtu ataniambia mbona mimi sina E LIMU na nimefanikiwa,ukweli ni kwamba inawezekana hauna elimu rasmi ili una E LIMU Isiyo rasmi maana kuna watu walio rithi Elimu isiyo rasmi toka kwa Wazee wao,Wazazi au Walezi,nacho sisitiza hapa ili tufaulu tuna lazima kuchangamkia ELIMU yoyote ya ujasilia mali,huo ni ukombozi kwa Mtanzania,kupenda udaku kuliko kujisomea maswala ya kiuchumi kutttugharimu,tunawaenzi wanao andika au kufundisha ujasilia mali kwa namna mbalimbali tuwatie moyo kwa kwa kununua masomo waliyo tuandalia,Katika kitabu cha BIBLIA HOSEA 4:6 MWENYEZI Amesema,Watu wangu wanaagamizwa kwa kukosa maarifa,maana yake kwa kukosa maarifa,utatapeliwa

kirahisi,utapoteza,utafilisika,matokeo yatakuwa mabaya,huko ndiko kuangamia,Msomaji wangu,tamaduni za watu walioendelea wanapenda kujifunza,wanaheshimu na kujali Elimu ,E LIMU ndio namba moja.wakati mwingine nitaeleza kwa kina madhara yanayotokana na kutopenda kujifunza.

2. KUTO KUWA TAYARI KUTHUBUTU NA KULIPA GHARAMA
Sisi baadhi ya watanzania tumekuwa Watu wa kutafuta urahisi,hata kama kitu kina faida nzuri tunaanza kuhoji urahisi wake kukionekana ugumu fulani tuna kikimbia,wenzetu wanaopambana na ule ugumu mpaka wakafanikisha tunaanza kuwaonea wivu na kuwapa majina bandia,mara freemason,mchawi,amewezaje kama sio mchawi,ndugu yangu utawatukana bure,wewe ulipo ona ugumu ulikimbia,wenzako wakatafuta njia ya kuongoa huo ugumu wakafanikiwa wewe sasa umeanza majungu,kuna msemo nausikia mtaani unasema,uoga wako ndio umaskini wako,na wewew thubutu unaweza kufanikiwa.

Kuna vitu vina faida nzuri ili utaka inuka kuvifanya utachekwa maana utaonekana umeishiwa{kwa kiswahili kisicho rasmi kufulia}Nataka nikuulize Swali,endapo unafanya kazi inayo dharauliwa na jamii lakini hiyo kazi inakuingizia tshs 20,000 elfu ishirini kama kipato chako kwa siku ambayo kwa mwezi ni kama 600,000 laki sita endapo utafanya kazi siku za siku,kipi bora kukosa pesa hiyo ili Watu wakuone vizuri,smart uko safi wakati wewe mwenyewe hali ni mbaya hata mia moja ni ya kubangaiza,au watu wakucheke, wakudhihaki lakini pesa inaingia na maisha yanaendelea,ndio maana MWENYEZI MUNGU AMASEMA KATIKA BIBLIA,Amelaaniwa,Amtegemeaye Mwanadamu,maana yake usitegemee kupongezwa na Wanadamu kila wakati,wewe fanya yako,ukufanikiwa watakutafuta.Ngoja nimalizie na ushuhuda huu,Hapa mjini Dodom kulikuwa na Baba mmoja ambaye aigundua kuwa akifanya kazi ya kuuza samaki kwa kupiga kelele mtaani inalipa na itamtoa yule B aba katika jamii alionekana mtu wa kuheshimika lakini yeye akaamua kufanya hivyo huku watu wakimshangaa na wengine kuongea walicho sema,

huyu Baba akawa maarufu kwa kupiga kelele ya Samakiiiiiiiiiiii,alipoona inazidi kuleta kipato kizuri akamfundisha mkewe naye akapita mtaani akipaza sauti samakiiiiiiiiiiii baadaye wakaona ni fursa kwa kutajirika wakawashirikisha Watoto wao ambao ni wakubwa nao wakapita mtaani wakipaza sauti samakiiiiiiiiiiiii,hivi sasa navyo ongea ni watu ambao kiuchumi wapo vizuri,sasa hawauzii samaki kichwani nakupita mtaani ila sasa,wanayo magari ya kufuata samaki wanako vuliwa wanawaleta na kuwauza jumla kwa Wajasilia mali wadogowadogo,wanazo nyumba nzuri na magari ya kutembelea,wewe unafikiria huyu Baba angeionea aibu biashara hiyo je angekuwa na maisha ya aina gani?

3.MATUMIZI MABAYA YA PESA
Sisi baadhi ya Watanzania hatusongii mbele kiuchumi kwa sababu hatupo tayari kutumia kidogo na kutunza kile tulicho kipata,tunataka kutumia kitajiri wakati sisi bado tuna bangaiza.Nataka nitoe mfano mmoja,Kulikuwa na kijana mmoja wa kitanzania aliyekuwa na bango la urembo ambalo lili mwingizia faida kwa siku tsh 70,000 shilingi Elfu sabini,yule kijana matumizi yake yalikuwa,viatu vya laki mbili,saa ya gharama, hoteli ya gharma kubwa,wadada warembo anatoka nao,ukafika wakati ambao hakutakiwa kuwepo eneo lile la biashara na maisha yakaishia hapo,aka baki hana chochote,japokuwa ile kazi aliifanya kwa muda mrefu,

pesa yake iliingia na kutoka,sasa tuangalie kama angetumia sh 10,000 welfu kumi kwa siku ili atunze 60,000 kwa mwezi angetunza 1.800,000 milioni moja na laki nane endapo angefanya kazi siku zite ambayo kwa mwaka angetunza 21,600,000 milioni ishirini na moja na laki sita,kwa miaka mitatu angetunza 64,800,000 milioni sitini na nne na laki nane,na hichi ndicho kinacho tutofautisha sisi Watanzania wengine na wale wanao toka mkoa wa Kilimanjaro ,

Wenzetu wakipata fursa ya kupa pesa inayoeleweka wanaitunza wanafanya maendeleo wakati sisi Watanzania wengine anakuwa ndio sherehe wakati hata kiwanja au nyumba au mradi wa uhakika bado huna,katika hili MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE tuna matumizi makubwa sana,kuishi misha bili kuweka akiba ni hatari sana,maana kesho yetu ina mahitaji makubwa kuliko leo,kesho utaoa ama kuolewa,kesho utazaa,kesho utastaafu kazi,kesho utazeeka,kesho hautakuwa na uwezo wa kufanya kazi unazo ziweza leo,kesho inadai zaidi kuliko leo,hivyo leo itumie kufanya maanalizi makubwa kwa ajili ya kesho.
 
Asante sana
 
Bravo...
 
Back
Top Bottom