Changamoto za ukubwa

Ukubwa ni jalala...

Ilihali bado unapumua huna budi kukabiliana na changamoto za kila namna..

Ili ufanikiwe unahitaji marafiki... Ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui.

Wabaya na wema wote wananafasi muhimu kwetu. Tuepuke chuki na visasi
 
Vale umeona mwenyewe sasa hivi navojiheshimu au vipi? basi ile barabara ya ocean road naijua,so unielekeze nikupitie tukale Sushi pale Japanese restaurant au vipi?
 
Ukubwa ni jalala...

Ilihali bado unapumua huna budi kukabiliana na changamoto za kila namna..

Ili ufanikiwe unahitaji marafiki... Ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui.

Wabaya na wema wote wananafasi muhimu kwetu. Tuepuke chuki na visasi
Shukran vale
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…