Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Tena hoja nyepesi mno mkuu.HesabuKali
Huyu atakuwa ni mvulana ambaye bado anashikiwa akili na kulishwa maneno na mama yake kuchukia uke-wenza, tumkumbushe kitu kimoja, kwenye maisha ya ndoa, au hata maisha ya kawaida, migogoro ipo hata ukiwa pekee yako (migogoro binafsi) na hata ukiwa na mke mmoja.
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya migogoro hiyo na wake wengi, nimezaliwa na kukulia katika familia ya aina hiyo, nazongwa tu na mafundisho ya kidunia (dini) ila nafsi inanisuta nikioa mke mmoja.
Labda kwa sababu ya maradhi ambukizi, naweza kuhofia ndoa hizi, ila kamwe sio kwa hoja nyepesi za Financial Analyst.
Mkuu unaonekana bado mdogo ki-umri.
Amini amini nakwambia, pesa huamua mengi zaidi ya hayo uliyoyaulizia.
huyo babu wamemkomesha hao wanawake, babu kashindwa kutoa doziKuna babu wa kiarabu nilimzoea aliniambia ana wake watatu nikamwambia hongera uko na raha alinijibu tu katika kitu ambacho alikosea maishani mwake ni kuoa wake wengi na ktk kitu ambacho kawausia vijana wake ni wasijaribu kuoa mitala nikamshangaa sana nikamwamuuliza dini si inakuruhusu akaniambia acha tu hakuna kitu kibaya kama kuwa mtumwa wa mwili wako. Yaani wewe maisha yako unazunguka tu kutoa mapenzi kwa hao wanawake halafu wanawake wenyewe hawajatahiriwa kwa hiyo wako na ashki sana matokeo yake unachoka mwili na akili ukifika kwa huyu ukimwambia nimechoka anakujibu unampenda zaidi fulani na kumbuka wanashindana kutoa penzi matokeo yake wewe unachoka na bado watoto wanazaa wengi na wewe ndio uhudumie, usipohudumia unaonekana unapendeleaw fulani aliniambia sina hamu tena ila according tu yeye mwenyewe watoto wake wa mke mkubwa ndio waliobarikiwa kwenye maisha.na ndoa pia.
Nilimuuliza why hao wamebarikiwa zaidi akaniambia mara nyingi mwanamke mwenye utu huwa hawezi ingilia ndoa ya mwingine wengi huwa wanakuwa ni mashetani so hata watoto wanaowazaa ni hivyo hivyo
Hakuna mwanaume anaacha mwanamke mwenye tabia nzuri. Hapo lazma Mama ana shida.
Inahitaji akili kubwa kukubaliana na mambo kama haya. Wengi wao hawawezi kukuelewa hapa
Haswaaaa. Baba yake pengine hakufata utaratibu wa kuwa na mke wa pili yeye aliliendea tu hilo suala halafu anataka alaumu mfumo mzima wa polygamy
Unaona unavyorithi ujinga wa baba yako sasa? Soma vizur hapo, na narudia tena kuoa mke wa pili hakujawahi kuwa tatizo tatizo ni watu akiwemo wewe na baba yako.
Nasema tena hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza fanya aliyofanya baba yako mbele ya mama yako hata kama mama yako ana matatizo.
Kwahiyo endelea kumlaumu baba yako na sio uke wenza labda una madahifu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
nami sitak mume wangu achepuke namwambia kila siku aoe tu mke wa pil ila hatakYaani mimi uchumi namshkuru mungu, akili ziko sawa, mwili wangu uko njema, mizigo tele mtaani, mke wangu hataki nichepuke hata kidogo anataka nioe, nangoja nini kwa mfano???
Hii ni hoja ndefu sana na inataka umakini. Sio kukurupuka tu mkuunami sitak mume wangu achepuke namwambia kila siku aoe tu mke wa pil ila hatak
Tena hoja nyepesi mno mkuu.
Yaani mimi nikipata safari ya kikazi kwa wiki tu kuja hapo jijini Dar imekuwa tabu sana maana wengine haiwezekani kukaa siku tatu bila bila, kipindi chote hicho cha wiki moja naishije???
cc: Mishil
Hapana sio kweli, mwanaume anaweza kuacha mke mwema ndani akaenda nje kufuata takoHakuna mwanaume anaacha mwanamke mwenye tabia nzuri. Hapo lazma Mama ana shida.
Huyo wa pili sasa nkioa inabidi awe flexible yaani. Ñkienda Arusha ajue safari inamhusu. Nkienda njombe au iringa ajue safari anayo.Mungu wangu, yaani huwezi kukaa wiki moja? [emoji134][emoji134][emoji134] sasa kila mkoa unaotembelea utakuwa unaoa au namna gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiwe na majukumu mengine sasa, ukioa mtu mwenye ofisi yake inakuwaje?Huyo wa pili sasa nkioa inabidi awe flexible yaani. Ñkienda Arusha ajue safari inamhusu. Nkienda njombe au iringa ajue safari anayo.
Wiki ndefu hivo
Ndio uwe makini sasa, oa wa darasa la saba ofisi yake kitanda chako.Asiwe na majukumu mengine sasa, ukioa mtu mwenye ofisi yake inakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] ooh sawa basi usiache kunipa kadi utakapooa huyo wa la sabaNdio uwe makini sasa, oa wa darasa la saba ofisi yake kitanda chako.