Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

dej

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
64
Reaction score
158
Habari wana jamvi
Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks.
Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama
  • Urembo asilia
  • Kupunguza mda wa ujenzi
  • Kupunguza gharama za ujenzi kwani hakuna haja ya plaster wala skimming
  • Thermal insulation
  • Weight advantage (hizi tofali zinapunguza risk ya nyumba kutitia)
  • Na kadharika...
Leo naomba tuachane kidogo faida zake. Ni wazi kwamba kila kitu kina faida na hasara zake.
Natamani kujua hasa changamoto za ujenzi wa interlocking bricks, na kama itawezekana kufanya assessment jinsi ya kutatua hizo changamoto.

Asanteni sana na karibuni
 
Sisi tunajua faida tuu, kuhusu hasara iulize AI
 
Sisi tunajua faida tuu, kuhusu hasara iulize AI
AI inatutia ulemavu,yenyewe haijawahi kujengea hizo tofali ndiyo ije iseme hasara zake ni moja mbili tatu,inabidi swali apatikane mtu either amejenga au amewahi kusimamia ujenzi wake atuelimishe.
 
AI inatutia ulemavu,yenyewe haijawahi kujengea hizo tofali ndiyo ije iseme hasara zake ni moja mbili tatu,inabidi swali apatikane mtu either amejenga au amewahi kusimamia ujenzi wake atuelimishe.
AI inauzoefu wa kila, itakutafutia uzoefu wa watu waliowahi kushea hizo challenges kutoka platform mbalimbali dunia nzima
 
AI inauzoefu wa kila, itakutafutia uzoefu wa watu waliowahi kushea hizo challenges kutoka platform mbalimbali dunia nzima
Mi nadhani ingekaa poa sana tungepata mtu au fundi mwenye kutupa sincere experience, hii ingekua more reliable than AI
 
Back
Top Bottom