Changamoto za mapenzi

Changamoto za mapenzi

.
Jamani kuna wanawake wana midomo michafu. Sasa inahusu nini? Mimi ni bikra, sina ex, sijawai kugegedwa ila siji na godoro.
Sijui kwanini nakupenda
Visa na mikasa yako tu
Yanifanya nikondeane
Kisebusebu na kiroho papo
Wivu umetamalako walah
Wanitesa mtoto wa kike
Pande zipi za bongoland!
Wapatikana ewe binti

Bazazi
 
Back
Top Bottom