Akiwa bado madarakani kuna siku ma bodyguard wa Obama walikataa kuvua viatu msikitikini wakiwa ziarani Instabul pamoja na Jakarta kwa madai kwamba wanatakiwa wawe gado sekunde yeyote mazingira yeyote kutoka nduki au kutandaza kichapo msikitini kwa atakaezingua. Na kwa wale waliokulia mitaani you know very well the last thing you wanna do in a beef ni kupigana peku! Wakasema watatoa ridhaa Rais Obama avue viatu lakini walinzi no chance! Ikabidi wawasihi angalau wavae ma cover ya kizushi nje ya viatu ili kuheshimu sakafu ya msikiti. Kiapo cha kazi na taaluma.
Sasa njoo Bongo!
Ma bodyguard wa Kiswahili wamevishwa magauni ambayo yanawafunika mwili, mikono, miguu, yanawazuia kupigana, yanawazuia kutoa silaha fasta, yani wamejisahaaaaau wanamuangalia Mzee Kingunge, Munyanz Mngu amlaze pema peponi! Mafunzo yana changamoto!