Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
ni kweli mkuu nashukuru kwa ushauri wakatishaji tamaa ni wengi.ila ni bora kuamini kile unachokitakaNadhani dunia ni dunia Miss Natafuta . Yaani ina mazagazaga yote. Ukijua kuwa ni dunia, tegemea yote. Kisha wewe angalia kule unakotaka kufika. Ukipigizana kelele na wanadamu, utapoteza mwelekeo. Yaani ili iwe dunia - lazima waongo wawepo, wezi, wavuta bangi, mabazazi, nk. Hapo ndipo inakuwa dunia haswa. Sasa cha kufanya, be focused --- unataka nini? Unataka 1, 2, 3. Basi shikilia hapohapo. --- ukifanya hivyo, mbona utafika tu.
nimesema tu watu wawe makini stuuSawa tumekusikia,
kwahiyo??
promo gani?Kwahiyo unajipigia promo
nimesema tu watu wawe makini stuu
sema my loveBaby J...
sema my love
poa subiriaok nasubiria post yako kule jukwaani
kwani unanitaka?Vp we ushapata
i love you more babyI love you baby
umri wa kuoa au kuolewa ni upi?Mtu unakuwa hadi unavuka umri wa kuolewa Hakuna anae kuona mtaani kwenu ni Hatari moja wapo katika maisha ila msijali na bahati yenu haikuwa mtaani kwenu ipo siku wenye Sifa na vigezo watapatikana Jitaidini kumshirikisha Mungu katika utafutaji wenu