Aisee! Nimecheka ..hahahahahMsg sent. Ila ndugu huo uandishi badilisha aisee
Huo ni mtazamo wako tu...viongozi wengi wana wake2 mfano makamu wa rais aliyepita yupo hai hadi Leo..Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
aongeze wa tatu tena?, atafia kwenye ile kitu aisee.Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Soma tena ulichoandika halafu kanusha kauli moja tu "mwanamke hagawani penzi na mwanamke mwenzio"Unajidanganya, hao Wanawake wote 2 wana Wanaume pembeni ila wanakuzuga shauri wanakuhitaji labda, lkn Mwanamke hagawani penzi na Mwanamke mwenzie hata siku moja, ni lazima wana Wanaume pembeni ambao wako in love nao!
Kuchepuka ni tabia,ukiwa mkristo basi heshimu dini za wenzako.Kwao kuoa mwanamke zaid ya mmoja si vby na ukumbuke wanawake wapo wengi waache wanaoweza kuwasitiri wawasitiri.Wanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
Wapo walioolewa mke1_ na wanachepukaWanaume mliooa mke zaidi ya mmoja hufa mapema aisee nguvu tu za kuridhisha mmoja shughuli pevu ndo wawili aisee, na hzi vyuma Angelia usiache watoto kwa kufa siku si zao, hafu ndoa ya mitala hufanya wanawake wachepuke in short ni shida tu Ku share mapenzi ni ngumu mazee, ongezea na watatu
KivipAcha mtazamo hasi ndugu
Kusema ukweli ndo siheshimu dini wewe vepee, mwingine ana wake wawili huku hata kumkojoza mke mmoja hawezi unategemea nini hapo hafu viugomvi na upendeleo lazima watoke nje,mtu hupenda mmoja the rest ni tamaa tu. Nani kasema tuko wengi ratio ni almost sawa dunia iliubwa kwa Ku balance usisingizie wingi njoo na scientific proof usiwe ka jiwe kuwaza uzinzi tu.Kuchepuka ni tabia,ukiwa mkristo basi heshimu dini za wenzako.Kwao kuoa mwanamke zaid ya mmoja si vby na ukumbuke wanawake wapo wengi waache wanaoweza kuwasitiri wawasitiri.