Digital base
Senior Member
- Jul 19, 2020
- 126
- 189
Ubarikiwe sana kwa moyo wako mkuu wa kujali mahitaji ya mwenzakoMungu wetu mwenye upendo akusimamie na uvuke kwenye magumu unayo yapitia.
Binafsi sina connection, lakini mimi na familia yangu tutakuombea.