A
Anonymous
Guest
Habari za muda huu,
Wakazi wa Mzinga, Kongowe, Toangoma, Vikindu na Kisemvule ambao ni watumiaji wakubwa wa barabara ya Kilwa (Kilwa Road) tumekuwa tunakumbana na changamoto ya VUMBI ambalo limekuwa likituletea magonjwa yanayotokana na VUMBI
Kwenye MRADI WA upanuzi wa barabara hiyo, Mkandarasi toka ameanza MRADI huu amekuwa ni nadra sana kukuta maji yakimwagwa barabarani ili kupunguza VUMBI.
Tunampongeza kwa Kasi anayoenda nayo kwani kazi inaonekana ila,
tunaomba Mkandarasi anayejenga Barabara hii aweze kuwa anamwaga maji kupunguza VUMBI.