Kunja km 200,000 hivi sogea pale ubaoni kiboss mkamatishe kijana mmoja njaa njaa mwambie unataka leseni ajaze madaraja yote mpaka yasiyokuwepo mwambie ni ya haraka sana umekata ticket ya ndege ya kesho asubuhi una safari ya ujerumani kwa hio afanye chap uipate leo leo, jioni mbali umeipata leseni niamini mimi