Changamoto ya Simu na kuwaka yenyewe

Changamoto ya Simu na kuwaka yenyewe

Kunguru wa Unguja

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
1,857
Reaction score
1,915
Habari ya kuamka wakuu natumai mmeamka salama kwenda kupambana kutafuta riziki na Harakati za kuikomboa nchi zikiendekea.

Inshort ni kwamba Nina Simu yangu Samsung A42 5G ina changamoto ya kuzima na kuwaka yenyewe na hata ikiwaka kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi kama Bluetooth, wi-fi,hotspot na Simu toka niinunue (used)ina kama miezi 5.

Msaada tutani jinsi ya kufix au mwenye ufahamu kuhusu hii shida.

Kingine ni changamoto ya Simu hizi za decomo inachangamoto ya kutopandisha mtandao yaani wakati ukiwasha data haipandishi data japo mwanzo ilikuwa poa tu ila kuhusu Access point name zipo ok msaada wataalamu karibuni kutoa msaada.
 
Kama switch ni nzima, badili betri.

Utajuaje kama switch ni nzima?
Simu ikiisha chaji ikazima kabisa, ukiiweka kwenye chaji itachaji lakini haitajiwasha. Lakini ukishaiwasha tu (kwa kubonyeza switch) inaanza tatizo. Hapo badili betri utakuwa umemaliza kazi
 
Sawa mkuu nitafanya hivo
 
Back
Top Bottom