shukrani mkuu ngoja nifanye hivyo nione kama nitaona mabdilikoAngalia tumbo huenda linajaa gesi...chunguza unyonyeshaji wako kama unaruhusu hewani kuingia ndani...tumbo huwa linawatesa watoto likijaa gesi huwa wanakosa hamu ya kula kabisa...em angalia nyonyesha yako na ukimaliza kumnyonyesha mlaze begani aondoe gesi ikiwezekana mgongegonge mgongoni kimtindo
Jaribu hivyo,na pia mtoto anapopata usingizi tu mlaze kifudifudishukrani mkuu ngoja nifanye hivyo nione kama nitaona mabdiliko
Syo zongo kwl?ndugu poleni na mjukum ya kutwa nzima.
wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote.
mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu kuingia kwenye maombi napo bado sijaona tofauti changamoto zinazo mkabili ni
...kulia sana usiku na kukohoa hadi kutapika usiku
hili ikifika mida ya saa 4 mtoto anashtuka na kuanza kulia sana namkumbatia anaendelea kulala hapiti mda anashtuka analia hadi kunakucha nimwendo huo hua analala nashtuka na kulia ila ikifika saa 10 anaanza kukohoa sana kana kwamba kuna kitu kimemkaba hadi anatapika ndio anakaa sawa.
2.hatambai wala hatembei
ndugu zangu nampenda sana mwanangu cha ajabu kila napo anapotaka kutambaaa anaanza kuumwa .
3. hali ugali bila maji
mwanangu hawezi kula ugali bila maji yaani hawesi kuumeza bila maji hata uwe mlaini vipi.
kunywa uji au juisi hataki hata viwe vitam kiasi gani.
NIMEHANGAIKA SANA JUU YA HUYU MTOTO LAKINI SIJAPATA MABADILIKO.
sasa ani saa 3 mtoto anaanza kulia hadi kunakucha
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU
Mkuu pole saana kwenye makuzi ya mtoto kuna mambo mengi saana kikubwa akimaliza kula jaribu kumlaza begani husaidia kupunguza gesi lakini pia sijui upo mkoa gani ila ni vyema ukatafta madawa ya chango ya mtoto huwa inasaidia sana lakini pia ishu ya kustuka usiku kemea pepo maana watoto wanaona tusioona kwa macho ya kawaida
hata sielewi mkuu kwanini usiku tuSyo zongo kwl?
Bladi hell....☹️HUYO ANAONA WACHAWI USIKU, HAWEZ KUA NA AMAN KAMWE JARIBU MWNGNE WA SHLINGI, KUNA MTAALAMU MMOJA YUPO CHALNZE HAPA CHAMAKWEZA
HUYO ANAONA WACHAWI USIKU, HAWEZ KUA NA AMAN KAMWE JARIBU MWNGNE WA SHLINGI, KUNA MTAALAMU MMOJA YUPO CHALNZE HAPA CHAMAKWEZ
Kuna mwaka niliwahi kumlea mtoto wetu wa miezi 5 kwa miezi sita nikiwa mwenyewe mkuu....Pole mkuu,,ila kulea jamani Mungu asaidie tu
Pole saana mkuu lakini pia kingine angalia labda mtoto hashibi maziwa ya mamamkuu acha tu natamani niwe narecod siku ya tatu sijaenda kazini kwasababu usiku silali kazi ni kumbembeleza mtoto ni hatari sana
shukrani sana nduguPole sana,
Unasema umejaribu maombi! hapo nimebaki nashangaa natamani kukuuliza maswali hapo kwenye maombi kabla mtoto hajazaliwa,
Mimi mtoto wangu mdogo ana mwaka mmoja alianza hiyo tabia ya kushtuka na kulia sana usiku, chochote anachokula anatapika kenyewe kanatembea kana michakato ila gafla akawa nikukaa tu siku nzima hatembei anasubili usiku aanza kulia na kushtuka, akiwa analia kitovu kinajaa akinyamaza kinakuwa kawaida.
Hospitali wanapima haumwi, izo dalili ni michango tafuta kawa za kienyeji ndo nilichofanya mama yake akawa anamlambisha saivi hakasumbui usiku kanalala japo sio fofofo.
Pole sana.ndugu poleni na mjukum ya kutwa nzima.
wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote.
mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu kuingia kwenye maombi napo bado sijaona tofauti changamoto zinazo mkabili ni
...kulia sana usiku na kukohoa hadi kutapika usiku
hili ikifika mida ya saa 4 mtoto anashtuka na kuanza kulia sana namkumbatia anaendelea kulala hapiti mda anashtuka analia hadi kunakucha nimwendo huo hua analala nashtuka na kulia ila ikifika saa 10 anaanza kukohoa sana kana kwamba kuna kitu kimemkaba hadi anatapika ndio anakaa sawa.
2.hatambai wala hatembei
ndugu zangu nampenda sana mwanangu cha ajabu kila napo anapotaka kutambaaa anaanza kuumwa .
3. hali ugali bila maji
mwanangu hawezi kula ugali bila maji yaani hawesi kuumeza bila maji hata uwe mlaini vipi.
kunywa uji au juisi hataki hata viwe vitam kiasi gani.
NIMEHANGAIKA SANA JUU YA HUYU MTOTO LAKINI SIJAPATA MABADILIKO.
sasa ani saa 3 mtoto anaanza kulia hadi kunakucha
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU
sawa nduguPole saana mkuu lakini pia kingine angalia labda mtoto hashibi maziwa ya mama