Nahisi wanataka mteja awekewe pesa akiwa kwa wakala kisha yule mtu amtumie mtu wake wa mbali ili kuongeza makato then muendelezo wa biashara.Sababu gani zinazopelekea wasipewe commission wanapotuma pesa kwa mteja aliye mbali ilihali mteja ni wa kwao?
Inaumiza Sana hii haliTabia za Airtel money hizo..
Issue sio Automatic Location Detector ila uzwazwa tu na wizi. Kwani mtu akiwa mkoa mwengine wakati akitoa hela huko alipo hakatwi?
Mkuu acha kuwa general, mitandao ya simu huwa ina nguvu eneo fulani na kwingineko inaweza ikawa dhaifu. Ukubwa wa commission hutegemea nguvu ya mtandao katika eneo husika. Hiyo namba list yako ni kwenu huko vijijini huku kwetu ni kinyume chake.Mitandao ya simu inayolipa vizur commission Tanzania ni......1.airtel money 2.halopesa 3.tigo PESA na wa mwisho kabisa kwa kulipa commission kiduchu n M-pesa.
Tayari ndugu nimeshawatumia WhatsApp na instagram na wamejibu watalifanyia kazi.Mkuu wakilisha voda wazo lako watafanyia kazi
Haulipwi kwa muamala huo tu uliofanya wa kumtumia mtu wa mbali.Ni kwamba hulipwi commission kwa hiyo transaction 1 au zote kwa mwezi husika au milele hawalipi??
Dadavua!
Everyday is Saturday.............................. 😎
Cjazungumzia eneo boss.....m-pesa kila mwisho wa mwezi wanakata ten percent pia....mteja wa airtel money akitoa 10,000/= commission unapata shs 320....lakin mteja huyo huyo akitoa m-pesa unapata commission ya shs 230.Mkuu acha kuwa general, mitandao ya simu huwa ina nguvu eneo fulani na kwingineko inaweza ikawa dhaifu. Ukubwa wa commission hutegemea nguvu ya mtandao katika eneo husika. Hiyo namba list yako ni kwenu huko vijijini huku kwetu ni kinyume chake.
Mfano M-pesa ukipata commission ya shs 300,000/= mwisho wa mwezi zen unakatwa ten percent ambayo n shs 30,000/=....wanakuachia kwenye account yako ya m-pesa shs 270,000/=Mkuu acha kuwa general, mitandao ya simu huwa ina nguvu eneo fulani na kwingineko inaweza ikawa dhaifu. Ukubwa wa commission hutegemea nguvu ya mtandao katika eneo husika. Hiyo namba list yako ni kwenu huko vijijini huku kwetu ni kinyume chake.
True.Voda kom wakuda sana wanavuna super profit kwa shida zetu, mfano garama vifurushi vyao,mpawa wanakata 10% upfront, songesha app na processing fee next muamala wanakata yote.
Kiburi chao ni kuhodhi soko ila wana mwisho mbaya wezi hawa.
Sawa, mbona kila mtandao wanakata. Kinachotofautiana ni formula ya uchukuaji hiyo 10%, tigo, airtel, na halotel wanakata kila Siku, voda wanakata mwisho wa mwezi sawa na banks zinavyofanya kwa sasa.Mfano M-pesa ukipata commission ya shs 300,000/= mwisho wa mwezi zen unakatwa ten percent ambayo n shs 30,000/=....wanakuachia kwenye account yako ya m-pesa shs 270,000/=
M-pesa wanafanya double cutting.Sawa, mbona kila mtandao wanakata. Kinachotofautiana ni formula ya uchukuaji hiyo 10%, tigo, airtel, na halotel wanakata kila Siku, voda wanakata mwisho wa mwezi sawa na banks zinavyofanya kwa sasa.
No hapanaM-pesa wanafanya double cutting.