KERO Changamoto ya maji wilaya ya Mafinga Mjini

KERO Changamoto ya maji wilaya ya Mafinga Mjini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari za muda huu wana JamiiForums,

Sorry kuna changamoto ya maji wilaya ya Mafinga mjini mtaa wa Changarawe sekondari mkoani Iringa.

Ambapo maji yamekuwa hayatoki kuanzia tarehe 1 mwezi wa 3 mpaka sasa, ambapo tumefanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka husika wametuambia wanalishughulikia suala hilo na kwa mujibu wa wao wamesema utengenezaji wa barabara za mitaa ndio chanzo cha ukosefu wa maji hayo kwan lakin hilo tatizo linaelekea wiki ya pili na wananchi tunateseka hatuna maji.

Tunaomba mtupazie sauti
 
Back
Top Bottom