Changamoto ya mafua na uharo kwa kuku

Changamoto ya mafua na uharo kwa kuku

Ranafa

Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
10
Reaction score
9
Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu.
Muwe na siku njema
 
Mafua unaweza tumia dawa Moja wapo kati ya izi
Ashienro 10%
Fluban
Noflox Gold
Respostim

Kuhara
Conrivet powder
Noflox Gold

Pia jitaidi kufanya usafi mara Kwa mara maana mafua na kuhara inamaanisha kuku wako wapo kwenye mazingira machafu
 
Back
Top Bottom