Changamoto ya kadi za kuvukia Kigamboni ni suala sugu. Wizara tusaidieni!

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,654
Kwema?

Iko hivi kuna muda mtu mlunataka kuvuka na hauna kadi unajitoa unataka kukatisha kadi mpya kwa shilingi elfu 2 unapita pale kwa wanaosajili unakuta hawapo kabsa au wakiwepo unaambiwa sijui rimu sijui ni karatasi zimeisha.

Hii imetokea jana nikienda huko nikiwa sina kadi maana nilipoteza imeanza asubuhi upande wa Kivukoni nimeenda hawa wakatishaji tiketi hawakuwepo kbsa nkamuuliza mlinzi akaniambia nikae kwenye foleni nitakatiwa kadi mpya nimepanga foleni kuubwa tu tena sikua peke yangu ambao hatukuwa na kadi tulikua kama watu 5 hivi tumejikongja hadi kwa mtoa huduma nae akatuambia kuwa rimu sjui rolla zimeisha nikamuukiza kwaiyo napitaje?

Akaniambia niongee na abiria mwengne mwenye kadi nimpatie mia 2 na mm nilikua na elfu kumi tu skua na ya zaidi halafu umfate mtu akukatie tiketi ya mia mbili s atakuona mchawi jamani?

Nikawa nimekaa tu na mlinzi namuuliza sasa hapa mm napitaje ikabidi atuombee kwa abiria mmoja alikua na kadi wale wengne wakatoa mia mbili wakavuka mm nkapita bure.

Baadae tena jioni nimerud sasa upnde wa Kigamboni kule nkaenda moja kwa moja kwa wakatisha tiketi nako holla wanasema kuwa rimu sjui rolla zimeisha nikawauliza vile vile kwa iyo nafanyaje mtu anajibu tu simple ndo hivo sas zimeisha sasa ndo utaratibu gani huu.
 
Kuendesha kivuko Cha daraja TU hatuwezi! Ukiona madudu yanayofanyika kwenye mwendokasi, vivuko,unaweza tapika, kama tunashindwa vitu vidogo,tutaweza bandsri, Bora mwarabu aje.
 
Kuendesha kivuko Cha daraja TU hatuwezi!ukiona madudu yanayofanyika kwenye mwendokasi,vivuko,unaweza tapika,kama tunashindwa vitu vidogo,tutaweza bandsri,Bora mwarabu aje
Hii nchi kila kitu tupo nyuma kasoro umbea na ukuda tu
 
Back
Top Bottom