Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,559
- 4,008
Kabadirishe APN weka Auto. Inakubali.Wakuu kwema,
Leo Airtel wamezima mtandaoni wa Internet kwa watu wote wanaotumia rooter zao nauliza mtu ameweka bando unlimited wewe unamzimia bila maelezo yoyote na je Kuna compensation yeyote baada ya kuzima internet
Tuanzie wapi kuwashtaki..
Nabadilishia sehemu ganiKabadirishe APN weka Auto. Inakubali.
Hakuna cha auto wala nini ikikaza utarudisha default lakin wapiKabadirishe APN weka Auto. Inakubali.
Kwani kwenye rooter Kuna hizi settingHakuna cha auto wala nini ikikaza utarudisha default lakin wapi
Network Setting , APN, Primary APN hapo iache ya Airtel Tanzania chagua yachini yake Auto kisha saveNabadilishia sehemu gani
Una loginKwani kwenye rooter Kuna hizi setting
Wewe imerudi kwako peke yako wamekata tokea jana usiku saa sitaInternet ikikaa Sawa wanarudi na GB12 za ofa me wameshanipa....
Wanatupoza hasira
Ushauza kiwanja unatuona mbwaNataka kufuta account jf, nahitaji kuondoka jf
Nielekezen jinsi ya kuidelete account
Kwenye simu auNetwork Setting , APN, Primary APN hapo iache ya Airtel Tanzania chagua yachini yake Auto kisha save
Hamna, una login kwenye account Yako ya router.. Ile ya 192.168.1.1 kwenye browserKwenye simu au
Nitayakoroga bure acha warudisheHamna, una login kwenye account Yako ya router.. Ile ya 192.168.1.1 kwenye browser
Vodacom sh ngapi vifurushi vya wifi??Mimi nipo zangu vodacom sisumbuki hovyo
Daah nimecheka sanaUshauza kiwanja unatuona mbwa