Changamoto ya Foleni njia ya Moshi-Arusha

Changamoto ya Foleni njia ya Moshi-Arusha

Kisambo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
850
Reaction score
531
Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini.

Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha kwenda moshi nao wamefanya hivyo hivyo.

Wahusika wenye mamlaka watatue changamoto hii kwani ni zaid ya masaa matatu watu wako
Kwenye foleni.
 
Aiseee hapa ndipo pana fanya niichukie Safari ya moshi Arusha
 
Back
Top Bottom