MangiMix
Member
- Feb 18, 2020
- 27
- 18
Kwa research yangu asilimia 75% ya interview na kazi nilizowahi fanya niliapply kwenye system ya organization moja kwa moja.. Asilimia 20% nilipeleka CV phyisically na 5% ni kutumia njia zingine kama Whatsapp nk.
Hii ikimaanisha kwamba sijawahi pata mrejesho wowote postive baada ya kuapply kazi kwa Email ikiwa ndio njia inayotumika sana kuapply kazi.
🏳Swali langu la msingi ni je ni mimi pekee ambaye na experience haya? Kama jibu ni Ndiyo itakua ninakosea wapi?
Ukizingatia CV ninazoapply kwenye system,kupelekea physically,whatsapp nk na ninafanikiwa, ndiyo hizo hizo natuma kwenye email ikitegemeana na position.