Changamoto ya biashara ya mgahawa kipindi cha ramadhani

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
332
1,000
wakuu nina kimgahawa cha kizushi napikaga chakula. leo mwezi wa ramadhani umeanza na waumini wengi wa kiislam wanafunga mchana hawali. nahisi kabisa kabiashara kangu katadhoofika. au mnasemaje wakuu?
 
Dharra

JF-Expert Member
Jun 23, 2017
1,583
2,000
biashara yako ipo mtaa gani? Nenda sokoni nunua futari ndizi mbivu mshale, magimbi, tambi, mihogo, kama unajua pika kalimati, ndizi mbichi utumbo, nunua tende kidogo, pika na uji mwepesi usiwe mzito sana (vyakula vikolee nazi). Weka bango KARIBUNI KWA FUTARI, hakikisha uji unakuwa free (wape offer wanaofunga kuonyesha unawajali sana) toa viti kidogo na tandika mikeka safi unaetaka anakaa, Utawapata hata wasio funga, hakikisha mboga smaki ama nyama unaweka ya kutosha, panga bei zako vizuri kisha mwezi ukiisha lete mrejesho hapa.
 
milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
332
1,000
asante sana mkuu...tatizo mgahawa wangu upo maeneo ya sokoni ambapo basically watu wanakuepo mchana na asubuhi tu

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
2,850

Fuata ushauri wa jamaa.
Uzur wa futari inauzika hata barabarani kwa sababu muda wa kufuturu jua linakuwa limezama.
Kama unahisi hapo sokoni pamejificha sana kiasi Cha kutoonekana hamisha mabenchi yako na viti kaweke kandokando ya barabara wanakopita abiria/wasafiri au hata wanapopita wafanyakazi wa aina yoyote watakufuata.
Hapo kwenye mgahawa wako bandika tangazo tu kwamba umehamia mtaa fulani kwa sababu ya kuuza futari.
 
Mkuu mbu wa dengue uzuri wa futari hizi huwa ni za msimu, ukichanganya na vitu kama maharage ya sukari, njugu mawe na bidhaa kama hizo na watu wakishagundua utauza tu.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
2,850
2,000
Mkuu mbu wa dengue uzuri wa futari hizi huwa ni za msimu, ukichanganya na vitu kama maharage ya sukari, njugu mawe na bidhaa kama hizo na watu wakishagundua utauza tu.
Ni kweli hakuna dawa zaidi ya utamu wa chakula.
Ukienda kwenye migahawa ya watu wa kutoka Tanga wanajulia sana yaani lazima utarud tena.
 
Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
774
500
Futari uza barabara za namba kule au Mtaa wa Chako Ni chako Kuna mazaa anawateja pale nyuma ya chako Ni chako
 
Top Bottom