Kwani anaumwa nini ndugu yetu?Kabla hamjamshambulia wakuu ameomba usaidizi hata wa dawa...
Mkuu; mbona huweki wazi ni changamoto gani ya kiafya imekusibu? Kuomba msaada tu halafu husemi Tatizo huoni kwamba unashindwa kutoa ushawishi kwa wenye msaada wakusaidie?Naombeni msaada wenu ndugu zanguni matunda tu yamenikosa na mboga ili kuweza kuitokomeza ndo dawa yenyewe kwangu tia maji
Bawasiri ndugu yangu, vya kula vya wanga hutakiwi kula, ila Sina namna kwa maisha yetu haya lazima ule tu, maji siwezi kukosa, kunywa shida matunda, mboga naweza kuchuma kokote tu nikala, msaada matunda kwa wingiMkuu; mbona huweki wazi ni changamoto gani ya kiafya imekusibu? Kuomba msaada tu halafu husemi Tatizo huoni kwamba unashindwa kutoa ushawishi kwa wenye msaada wakusaidie?
Mkuu; mbona unacomplicate mambo? Mbona Bawasiri inatibika kirahisi mno bila upasuaji.Bawasiri ndugu yangu, vya kula vya wanga hutakiwi kula, ila Sina namna kwa maisha yetu haya lazima ule tu, maji siwezi kukosa, kunywa shida matunda, mboga naweza kuchuma kokote tu nikala, msaada matunda kwa wingi
Ya nje mkuuMkuu; mbona unacomplicate mambo? Mbona Bawasiri inatibika kirahisi mno bila upasuaji.
Je, ni bawasiri ya ndani au ni ya Nje? Au ni kotekote i.e. nje na ndani kwa pamoja?
Kama. Ni BURE ni sawa mkuu mi Sina fedha kiongoziOooops.Ngoja wakupigie kwanza hao,Ikifika zamu yangu utanishitua.Dawa ipo na utapona kabisa.
Yes ya bure inapatikana pia.Kama. Ni BURE ni sawa mkuu mi Sina fedha kiongozi
Inaitwa SITCOM mkuuKwahiyo wamesema ni dawa Gani ndio upone kabisa
Tafuta mgagani (Cleome gynandra) hutumiwa kama tiba asilia kwa ajili ya kutibu bawasiri ya nje.Ya nje mkuu
Mkuu ndizi mbovu zinatibu pia?Jitahidi ule ndizi mbovu,mbogamboga na mapapai