Njoo hapa pana frem moja iko wazi, utapanga, utafanya duka genge.
Ukiweza hata chips unaweka hiyo huduma haipo jirani, asubuhi utauza chai /vitafunwa. Ukikomaa utalala na 50 kupanda juu.
Utalala humo humo kwenye frem maana sasa vijana mmekuwa wajanja wajanja mnakata watu kwa majembe.