Hahaha kwamba wewe siyo govt official ila ukawaambia TCRA wamfungulie akaunti WEO?Mimi niseme hiyo kazi niliifanya mwenyewe na mtendaji akawa muungwana kujifunza kwani nikamwelekeza nini afanye, niliwasiliana na wadau TCRA wakafungua hiyo akaunti ya mtendaji wa mtaa baada ya kutuma taarifa zake kama email, majina matatu, mtaa, namba za simu.
Hawa tuma namba zao kwa watu wa NAPA, wanapigiwa simu ili waingie kwny mafunzo ya asubuhiNimeshawapa hadi clip za maelekezo,,, ila kipengele kilichopo wafunguliwe account za NaPA Huko halmashauri
Ndvy ilivyo mzee, mana bila mtendaji huchomoki...ukishindwa kabisa chukua namba ya mtendaji wako ichome kwa watu wa napa, wanampigia simuHahaha kwamba wewe siyo govt official ila ukawaambia TCRA wamfungulie akaunti WEO?
Katika ishu sensitive kama ya mtu kuomba mkopo? Hahaha sawa bwana
Mara huoni tatizo mara KWELI NI TATIZO,imekuaje tena?Kweli ni tatizo
Unaitwa Sioni Tatizo.Kweli ni tatizo
Naelewa kinachohitajika.Ndvy ilivyo mzee, mana bila mtendaji huchomoki...ukishindwa kabisa chukua namba ya mtendaji wako ichome kwa watu wa napa, wanampigia simu
Ni kweli haiingii akilini ila inawezekana, nahisi wanacheki kwny mfumo kama Mtaa fulani Mtendaji kasajiliwa, kama hajasajiliwa wanafanya follow up wanamsajili...though ni kazi ya halmashauri, hata kusajili mtegemezi wa anwani ni kazi ya mtendaji wa mtaa ila kama ukiwapigia cm na ukaweza kuthibitisha kuwa unakaa nyumba fulani labda kwa kutoa namba ya simu ya mmiliki ambayo inalingana na surname yako basi wanakusajili vizuri tu.....mi nilipiga kwny namba zaoNaelewa kinachohitajika.
Naelewa pia kwa kawaida akaunti za mifumo za watumishi wa LGAs hufunguliwa na IT wa Halmashauri.
Ila kusema kwamba mtu siyo IT wa Halmashauri au Afisa yeyote serikalini awapigie TCRA ili wamfungulie akaunti WEO hii haiingii akilini.
Mimi pia ni gvt official vilevile na huyo VEO ananitambua.Hahaha kwamba wewe siyo govt official ila ukawaambia TCRA wamfungulie akaunti WEO?
Katika ishu sensitive kama ya mtu kuomba mkopo? Hahaha sawa bwana
Hapa sasa nakubali kilichotokeaMimi pia ni gvt official vilevile na huyo VEO ananitambua.
Naam mkuu ndicho kilichotokeaHapa sasa nakubali kilichotokea
Huyo mtendaji kwa mfano huku zanzibar masheha hawafahamu chochote mimi Nimeingia NaPa nimefanya mpaka nimefikia kupata zile reference number kwa mfano 3630OK221 lakini hatua ya kupata ile barua ndio shida, reference ambazo nimepata kwa applicant ukirudi kwenye mfumo wa bodi kuiweka unakuja ujumbe bado hazijakuwa approved.Mbona mfumo ni mzuri na rahisi kutumia.
Ishu ya msingi ni watendaji wapewe maelekezo ya masaa 2 tu kazi inafanyika.
Nimefanya kazi hii kwa kijana wangu na akamaliza ndani ya siku 3 aka submit maombi ya mkopo bila shida yoyote.
Nilisoma kupitia youtube akaunti ya NaPa.
Nikaenda kwa mtendaji nikampa maelekezo, akasajiliwa. Nikarekebisha taarifa zoezi likaisha.
Mimi nishasajiliwa tayari kwenye mfumo wa makazi lakini mbona nikiweka ile Reference No kwa ajili ya barua barua haiji? Kwanini barua siipati na nikijaza ile reference number kwenye mfumo wa bodi inasema bado haijakuwa approved?Halmashauri wanajivuta sana.
Piga simu, wacheki wasap kwa kujitambulisha kama mtendaji wa eneo husika utasikilizwa kwa mfumo huu
Jina:
Mkoa:
Wilaya:
Kata:
Mtaa:
Email:
Phone:
0738938757
0658098809
Kila mmoja inabidi apate reference namba yake.Huyo mtendaji kwa mfano huku zanzibar masheha hawafahamu chochote mimi Nimeingia NaPa nimefanya mpaka nimefikia kupata zile reference number kwa mfano 3630OK221 lakini hatua ya kupata ile barua ndio shida, reference ambazo nimepata kwa applicant ukirudi kwenye mfumo wa bodi kuiweka unakuja ujumbe bado hazijakuwa approved.
Lakii pia nataka kujua hivi ni kila mmoja inabidi apate reference namba yake? kwa mfano baba mama na mdhamini?
Kama una link inayoelekeza zaidi tunaomba mkuu
Mtendaji wako ndiye mwenye mamlaka ya kuidhinisha ombi lako kwenye mfumo wa NaPa.Mimi nishasajiliwa tayari kwenye mfumo wa makazi lakini mbona nikiweka ile Reference No kwa ajili ya barua barua haiji? Kwanini barua siipati na nikijaza ile reference number kwenye mfumo wa bodi inasema bado haijakuwa approved?
Naomba hiyo app ya Napa DC Live ili nimpelekee mtendaji wangu afanye approvalKila mmoja inabidi apate reference namba yake.
Mama wa muomba mkopo.
Baba wa muombaji mkopo.
Muombaji mwenyewe.
Barua utaipata endapo mtendaji ataidhinisha ombi lako kwenye app ya Napa DC live
App wanapewa mkuu na watehama wao wa wilayani ama wale walioko mawasiliano..Naomba hiyo app ya Napa DC Live ili nimpelekee mtendaji wangu afanye approval
Sasa kama App wanapewa mkuu wa tehama wa wilayani huku kwetu hao watu bado hawajawezeshwa na dirisha la maombi limeanza wanafunzi wanahangaika, ukienda kwenye huyo mjumbe/sheha kumueleza jambo hili ata hakuelewi hafahamu kabisaApp wanapewa mkuu na watehama wao wa wilayani ama wale walioko mawasiliano..
Hakikisha amesajiliwa ndipo atakua na uwezo wa ku access hiyo app.
Sasa mtendaji akipigiwa simu na napa, Labda mtendaji 1 atakuwa na watu 100 kwenye shehia yake ambao wataomba mkopo hawa wote atawaidhinisha kwenye simu atakayopigiwa? au Mtendaji akiingia jina lake tu inatosha watu wake kutambuliwa kwa wale washaojisajili na kupata ref number??Ndvy ilivyo mzee, mana bila mtendaji huchomoki...ukishindwa kabisa chukua namba ya mtendaji wako ichome kwa watu wa napa, wanampigia simu