Serikali yangu sijui kwa nini huwa inakurupuka sana kwenye upande wa mifumo .Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo;
1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii imekua kikwanza kwa wazazi wanaoishi kwenye nyumba za kupanga.
2. Watendaji wa Kata hawapo oriented na mfumo huu,, hii imekua kikwazo kwa watendaji, maana wengi wao hawajapatiwa Semina wala warsha kuhusu mfumo huu.
3. Hata nyumba zilizowekewa namba za anwani,, namba hizo haziko active kwenye mfumo.
4. Baadhi ya namba za simu zipo kwenye mfumo wa NaPA zinasoma anwani za watu tofauti na wao,, hata majina ukiomba barua yanakuja ya mtu mwingine.
** Tunaomba changamoto hizi zifanyiwe kazi,, zinatukwamisha kuendelea na uombaji wa Mikopo ya elimu ya juu,, ikiwezekana Postcode zitumike badala ya NaPA.
Huyu mzazi ambaye mtoto wake amefika chuo kikuu halafu bado anapanga akamatwe.1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii imekua kikwanza kwa wazazi wanaoishi kwenye nyumba za kupanga.
Kuzaa siyo lazima. Tuondokane na tabia ya kuzaa kwa msukoumo wa nyege. Maisha ni mipango, na kupanga ni kuchagua.Huwezi elewa mpaka yakukute @ Sexless
Ndio maana ukaitwa sexlessHuyu mzazi ambaye mtoto wake amefika chuo kikuu halafu bado anapanga akamatwe.
Mbona mfumo ni mzuri na rahisi kutumia.Ni bora watumie postcode na mikoa, wilaya, na mtaa
Bahati yako,,,, huku kwingine watendaji hawaelewii wanalalamika tu,,, maana nao wanatakiwa kufunguliwa account,, na anaefungua hizo account za watendaji ni IT wa halmashauri,, au Municipal.Mbona mfumo ni mzuri na rahisi kutumia.
Ishu ya msingi ni watendaji wapewe maelekezo ya masaa 2 tu kazi inafanyika.
Nimefanya kazi hii kwa kijana wangu na akamaliza ndani ya siku 3 aka submit maombi ya mkopo bila shida yoyote.
Nilisoma kupitia youtube akaunti ya NaPa.
Nikaenda kwa mtendaji nikampa maelekezo, akasajiliwa. Nikarekebisha taarifa zoezi likaisha.
Mimi niseme hiyo kazi niliifanya mwenyewe na mtendaji akawa muungwana kujifunza kwani nikamwelekeza nini afanye, niliwasiliana na wadau TCRA wakafungua hiyo akaunti ya mtendaji wa mtaa baada ya kutuma taarifa zake kama email, majina matatu, mtaa, namba za simu.Bahati yako,,,, huku kwingine watendaji hawaelewii wanalalamika tu,,, maana nao wanatakiwa kufunguliwa account,, na anaefungua hizo account za watendaji ni IT wa halmashauri,, au Municipal.
Wape elimu mkuu.Bahati yako,,,, huku kwingine watendaji hawaelewii wanalalamika tu,,, maana nao wanatakiwa kufunguliwa account,, na anaefungua hizo account za watendaji ni IT wa halmashauri,, au Municipal.
Alizaa zaaje hajajenga? Hivi mnazaa kwasabb tu mmekutana na mwanamke ama mnapanga kuzaa?Ndio maana ukaitwa sexless
Rubbish
Halmashauri wanajivuta sana.Nimeshawapa hadi clip za maelekezo,,, ila kipengele kilichopo wafunguliwe account za NaPA Huko halmashauri
Sijui ulitaka kuandika nn? SI ungeandika kiswahili tu? Kiingereza hakikupendiLive can start from zero but also can end up at Zero. Acha kua na akili mgando
Nimejaribu kutumia ussd hii *152*00# kujisajiri kwenye anwani za makazi,, imeonesha ombi limepokelewa,, lakin hadi sasa sijapata mrejesho,, ngoja tuone labda baada ya masaa 24 watajibuHalmashauri wanajivuta sana.
Piga simu, wacheki wasap kwa kujitambulisha kama mtendaji wa eneo husika utasikilizwa kwa mfumo huu
Jina:
Mkoa:
Wilaya:
Kata:
Mtaa:
Email:
Phone:
0738938757
0658098809