Changamoto tu za maisha

loooo!!!!!! saaa ukiwa na height phobia ndo huvuki kamwe
 
Kwa mwaka wangapi wanapoteza maisha hapo jamani
 
Mkuu kila wakati upo makini, huwa unanikumbusha mzee kifimbo cheza!!!!

Ni wajibu kufundishana tunapokosea, hata mimi nnajifunza na nnafundishwa mengi humu. Tusiitumie hii mitandao bila faida.

Kwa hilo dogo tu, nnauhakika wengi watafaidika na sasa watajua kuwa "fear of heights" ina neno moja tu, "acrophobia".

Mitandao ina faida sana tukiitumia vyema.
 
santee kwa kunielimisha zaidi

Naam, hata mimi nimeelimika kutoka kwako, kwani nilisahau hii "fear of heights" inaitwaje, ikabidi niingie google kuitafuta na nilipoipata nikaona ni vyema tufaidike wote. Tuko pamoja.

Tuitumie hii mitandao kwa faida ya wengi.
 

Hongera mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…