Changamoto nayopitia bank ya FNB

NMB CRDB NBC hizi ndiyo bank za TANZANIA za uhakika na salama muda wote... Tatizo lenu WaTz mnapenda sana vya bure mnataka muweke pesa bank isikatwe hata shilingi mia, sasa bank itajiendeshaje kama sio kufa na kudhulumu wateja...
Hamuanishawishi aisee hela zangu naweka Banc ABC hakuna makato,makato ni kwenye kufanya miamala tu.

Changamoto
*Matawi machache Dar yapo matatu tu
*Usumbufu kwenye ATM wawezakuta mashine ipo out of service hapo shida inakuja kulitafuta tawi lingine
*Mawakala wachache
*Menu yao ya mobili money haifanyi kazi.
 
Kwa nin uteseke na pesa Yako.
Muda na gharama za kutafuta huduma c Bora ufungue account bank za ndani.
 
NMB CRDB NBC hizi ndiyo bank za TANZANIA za uhakika na salama muda wote... Tatizo lenu WaTz mnapenda sana vya bure mnataka muweke pesa bank isikatwe hata shilingi mia, sasa bank itajiendeshaje kama sio kufa na kudhulumu wateja...
+Posta
 
Siku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.
Watu wanaongea tu, bank kama ABSA kwangu ni bank bora kuliko bank zote za ndani ( local ), huduma za jamaa faster sana hadi unafurahi, kwa sie wafanya online transaction na internet bank ndio mwake
 
😅😂 Ila WaTz bhaana thinking capacity ipo chini sana (samahan). Kwahio hapo hujagundua kwanin hawana makato..? Ume calculate gharama za muda wako na gharama za usafiri kutafuta huduma ya hiyo bank..?
 
Ahsante
 
Nalijua tawi moja tu la Mtaa wa Msimbazi Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…