Hao fnb walijichimbia kaburi lao walipojiunga na yule Ontario kutapeli wanyonge.Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa...
Kwa maneno haya unataka kusema mdau atakuwa amepigwa kwenye mshono? Nayajua maumivu yake.Ninavyojua tangu mwaka jana au juzi FNB ilikuwa na mpango wa kufunga shughuli zake hapa nchini na nimeshangaa kusikia kwamba bado wanaendelea na operations zao...
Kwanza pole. FNB bank walikua acquired na Exim bank, mwaka 2022 mwezi july..so all assets and liabilities (customer deposits) za fnb zilihamishiwa Exim bank.Nimekuwa mteja wa muda mrefu wa hii bank ya Fnb kwa muda mrefu sana na sikuwahi kupitia changamoto yeyote hadi wiki iliyopita ndio nikakutana na kizaazaa...
Kwanza pole. FNB bank walikua acquired na Exim bank..mwaka 2022 mwezi july..so all assets and liabilities (customer deposits) za fnb zilihamishiwa Exim bank.. therefore that being a case all complains regarding your fnb account zinatakiwa kua handled na Exim bank..so endapo jitahada zitagonga mwamba Basi nenda BOT dawati/section ya customer compliant watashughulikia issue yako immediately.(kumbuka BOT walitoa regulation inayohusina na consumer protection kwa wateja wa mabenki..na kuweka timelines(SLA ya kila tatizo na duration ya kutatuliwa such that hiyo duration ikizidi basi mteja a lodge complain yake BOT.
Hivi vibenk vidogo huwa naviogopa sana ķuweka visenti vyangu huko!.
Wewe ni Afisa wa Bank gani? Nataka nije kufungua Fixed deposit, Mnatoa rate ngapi kwa USD 200,000Kwanza pole. FNB bank walikua acquired na Exim bank, mwaka 2022 mwezi july..so all assets and liabilities (customer deposits) za fnb zilihamishiwa Exim bank.
Therefore that being a case all complains regarding your fnb account zinatakiwa kua handled na Exim bank..so endapo jitahada zitagonga mwamba Basi nenda BOT dawati/section ya customer compliant watashughulikia issue yako immediately.
(kumbuka BOT walitoa regulation inayohusina na consumer protection kwa wateja wa mabenki..na kuweka timelines(SLA ya kila tatizo na duration ya kutatuliwa such that hiyo duration ikizidi basi mteja a lodge complain yake BOT.
Siku ukitumia Barclays kwa sasa ABSA utagundua hivyo vi bank vyenu vya kizalendo vina uswahili mwingi sana.Kuna watu Huwa mnanishangaza Kwa kweli!! Eti FNB!! Barclay!?boa!?hivi Huwa mna waza nn!? Hivi kwenu singida ukienda utakuta tawi la FNB!??