Changamoto kwa Chadema

ni kweli mkuu;watasubiri sana.
 
Sasa mkibaki wachaga peke yenu itawasaidia nini?au wachaga wenzenu ndio watawaingiza ikulu? Hii ndio faida ya kuanzisha uzi wakati mbege imekolea kichwani.

Hivi umemuelewa mleta uzi au unabwabwaja kama zuzu..
 
Unawazimu wewe changudoa ehhh...Labda wewe ndo utaidharau.....Pu.mb.avu kabisa hna akili...

Heri unisaidie maana Mimi nashindwa kuwaelewa watu hawa wanafikiri kwa kutumia kiungo gani? Wallahi Nabata ushungu Mimi!!
 
Akili ndogo kutawala akili kubwa!
 
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja huenda itakuja kuthibitika baadaye kuwa cha kikabila, kidini na kikanda maana muda upo bado haujaisha!
 
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja huenda itakuja kuthibitika baadaye kuwa cha kikabila, kidini na kikanda maana muda upo bado haujaisha!

Sio kila lisemwalo lipo au laja!! Mengine ni maneno tu.
Kwa mfano wanaosema kwamba mzee mmoja kiongozi ktk nchi hii anafanana na Sokwe je ni kweli kwamba kwa vile inasemekana hivyo basi siku moja anaweza kugeuka na kwenda Gombe kukuta ndugu zake??

Sio kila lisemwalo Lipo au laja. Kumbuka kuwa huo ni usemi tu.
 
Sasa mkibaki wachaga peke yenu itawasaidia nini?au wachaga wenzenu ndio watawaingiza ikulu? Hii ndio faida ya kuanzisha uzi wakati mbege imekolea kichwani.

Sasa mnapigaga kelele chama cha wachaga~chama cha wachaga za nini???Acheni chuki za kikabila na kidini kwani hata Baba wa TAIFA alishalionya hilo.,So as TANZANIANS we don mind about kabila's,wherever if u're NGONIS,KURYAS,SUKUMA FROM SUKUMA LAND even GOGOS,What we need is 'MABADILIKO',A PERSON OF CHANGES,sio blahblah za miaka 52. nyuma.
 
Hivi nyinyi watoto wa Mtei akili zenu mmefungia kwenye mabegi unaandika hovyohovyo tu alafu unataka great thinker wasapoti utumbo,inaonyesha hata shule hukwenda wewe unamawazo mgando kabisa.
 
Kudadadake! Akili kubwa sana hii sijui hiyo misukule inayoamini kila jambo anajisikiaje kwa jibu hili.
 
Hivi nyinyi watoto wa Mtei akili zenu mmefungia kwenye mabegi unaandika hovyohovyo tu alafu unataka great thinker wasapoti utumbo,inaonyesha hata shule hukwenda wewe unamawazo mgando kabisa.

Hee! Nawe ni GT! Tuache utani na hizi kalama walizojaliwa waachwe wajiite hivyo! Kama GT ni wa sampuli yako basi hapana shaka ktk jamii yako wote ni ma IRON BOYS/GIRLS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…