Which is the correct sentence among the following sentences written below :-
If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful salon car
If I was you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car
If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car
Note: Itapendeza sana na itakuwa msaada kwa wanaojifunza endapo majibu yakiambatana na ufafanuzi japo kidogo wa KISARUFI
Nashukuru kwa ufafanuzi wako, bado naendelea kujifunzaHuwezi kusema "If I was you", katika kuchukua nafasi ya mtu mwingine, unasema "If I were you:.
Ila sasa, tofauti ya sentensi ya kwanza na ya tatu ni nini, naona kama ziko sawa, labda kama salon sio typo error.
Na pia, sentensi yako haiko sawa gramatically. Natumaini sio mwalimu wa kingereza katunga mtihani kwa swali kama hili. Unachotaka kusema hapa ni kutoa kitu mbadala cha kufanya, lakini unaposema "If I were you I could" unatoa uwezo. Huwezi kuweka uwezo katika context ya chaguo la kujenga au kununua gari. Na pia rather, si vizuri sana iende na present continuous - rather than buying.... Rather than buying ni direct Kiswahili translation (kuliko kununua). Na pia kama unatoa alternative, sio vema kusifia kitu ambacho usingefanya, inakuwa contradiction - a beautiful
Labda ingekuwa sahihi zaidi kusema;
If I were you, I would build a huge house rather than buy a saloon car
Au ungeweza kusema
Had I been you, I would have built a huge house rather than buy a saloon car.
Kweli mkuu ukikosoa ni vyema ukaonesha kosa kwa mujibu wa SARUFI ili tuendelee kuelimikaNgoja tuone watalaamu wa lugha ya Malkia wakitililika.
ila wale wenzangu na Mimi mabingwa wa kukosoa makosa bila kusema usahihi ilitakiwa iwe vipi hawawezi kutia neno hapa.
Na vipi kuhusu namba 2 mkuu, tatizo lake ni lipi?
Zote zinamakosa grammatically.Which is the correct sentence among the following sentences written below :-
If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful salon car
If I was you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car
If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car
Note: Itapendeza sana na itakuwa msaada kwa wanaojifunza endapo majibu yakiambatana na ufafanuzi japo kidogo wa KISARUFI
Salon.... Sehemu unaweza pata huduma ya nyweleHakuna changamoto hapo.
Kama ulisomeshwa vizuri secondary, sentence namba tatu ni correct.
Namba moja tatizo lipo kwenye neno salon badala ya saloon.
Thanks for your contribution .... twaendelea kujifunza ..... by the way kama ungeeleza kwa nini wadhani hakuna sentence sahihi ingekuwa msaada kwetu piaNa salon inaweza kua hair cut or a beauty salon
But beautiful salon..... I don't think so
Nakubali kukosolewa ila kwa mimi hamna sentensi iliyo sahihi
Saloon car1. Beautiful salon car*
2.if I was you.* & beautiful saloon car
3.beautiful saloon car.
I think matumizi ya hayo maneno katika kila sentensi kwangu yameondoa maana ya sentensi.
......nakubali kukosolewa.....
My point isSaloon carni sahihi ( small car with a boot ( trunk ) ... rejea maana niloiongeza kwenye post yako hapo juu ....
Saloonina maana nyingi hata zaidi ya hizo zilotajwa hapo juu