Changamoto katika ajira Tanzania

Changamoto katika ajira Tanzania

Joined
Jul 30, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Habarini ndg wapendwa,

Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara?

Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo, lakini wana fail kumuwekea applicant kiwango chake cha mshahara itakua shilingi ngapi!

Ukiangalia mashirika ya wenzetu wanaweka job tittle na kiwango cha mshahara kwanini sisi hatuweki au ili swala nyie kama watanzania mnalichukulije?

Naomba ufafanuzi yoyte anaeweza kuchanganua ili jambo.
 
Usione watu wanaamka asbh kwenda makazini/vibaruani ukadhani wanalipwa mishahara/malipo ya maana. Wengi wao wanatumia ofisi kufanya wizi/upigaji. Ndiyo maana JPM analaaniwa kila kona kwamba amefanya maisha kuwa magumu kwa kuwa tu kazuia upigaji. Mishahara yao hata haistahili kuitwa mishahara labda iitwe ujira.
 
Umenikumbusha kuna kampuni ilinipigia simu niende singida interview nikakataa kwamba mbali, baada ya siku mbili wakapiga simu tena niende shinyanga nikafanye interview nimeenda eti wamekodi hotel yaani nianze kazi moja kwa moja nitalala hotelini baadaae nitatafuta nyumba....nikaulizia malipo, walipotaja tu nikawauliza mara ya pili wakataja na maneno mengi kweli.....hasira zikanipanda nikawaambia hata kazi ninayoifanya kwasasa hawalipi hivyo kwahiyo siwezi kupoteza muda....nikawaomba nauli nilizotumia kwenda then nikawaambia nitarudi baada ya wiki mbili nikachukue mizigo.....ikawa jumla. NIKAFIKIRIA INGEKUWA WANAANDIKA SALARY mtu wala huwezi kuhangaika kufanya applications kama unaona malipo hayafai, Kampuni za kijinga sana hapa Nchini, usione zipo nyingi hivi yaani nyingi ni za kishenzi sana!!!....Kusumbua watu tu, mm siku hizi naandikaga salary expectation kwenye CV na barua ili wakiona sio size yao wasinisumbue kuniita interview....USHENZI TUPU!
 
Back
Top Bottom