Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Mwaka 2011 wakati namaliza A level nili-bashite haswa nikawa sina chaguo lingine zaidi ya kwenda kusoma ualimu wa primary.
Nilipohitimu nilipangiwa kwenda kufanya english medium moja iliyopo hapo mwanza(jina kapuni).
Nilifanya kazi pale japokuwa kulikuwa na wanafunzi wa kiarabu na kihindi changanya na waswahili wenye hela zao.
Mimi nilikuwa patron wao kipindi hicho ila waarabu nilikuwa siwapendi kabisa. Watoto wa kiarabu ni wababe sana, mfano kulikuwa na mwanafunzi wa kike wa kiarabu yeye alikuwa anawapa wenzake adhabu au kuwapigisha darasa zima magoti.
Japokuwa watoto wale ni waelewa sana. Siku moja nilikwenda kazini na stress zangu. Mtoto mmoja wa kiarabu nilijikuta nimemchapa sana mpaka akawa mwekundu hasa.
Jioni ilipofika alirudi kwao kwa sababu kulikuwa na wa kulala na kwenda nyumbani. Balaa lilikuja asubuhi, ilikuja vogue nyeusi, yule mtoto aliteremka na baba yake akiwa kashika bunduki. Kilichofuata mimi nilikimbia kabisa na sikurudi shuleni pale. Mwisho nilifukuzwa kazi
asante