steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,629
Kwa sura hiyo lazima mama awe na wasiwasi 😁Dipi wedi i vipi si ina maroboto ya Ai tu nasikia mambo yao chap kwa haraka View attachment 3113115
Hakuna kitu kama hicho.Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam
Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini
Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa saba ila mzigo haujatoka mpaka leo nina simu za nokia pisi 1000 mzigo jna miezi mitatu haujatoka ingawa meli zilishusha tayari
Ninapoongea nimeanza kupewa tuhuma kuwa nimetapeli wateja wakati mizigo imefika na hawatoi
Bibafsi naomba mamlaka zifanye jitihada wanaivunjia heshima bandari wateja watakimbia
Mkuu pole ila hii taarifa na wasiwasi kama wakala wako wa mizigo ana kupa taarifa sahihi. Kama huto jali na kweli uko clean na mzigo umekwama mda wote huo njoo DM kwa usaidizi. Mzigo wenye nyaraka zote invoice, BL na TBS inspection una subiri nini mda wote? Hii haija kaa sawa njoo DM kama haya ya kweli.Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam
Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini
Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa saba ila mzigo haujatoka mpaka leo nina simu za nokia pisi 1000 mzigo jna miezi mitatu haujatoka ingawa meli zilishusha tayari
Ninapoongea nimeanza kupewa tuhuma kuwa nimetapeli wateja wakati mizigo imefika na hawatoi
Bibafsi naomba mamlaka zifanye jitihada wanaivunjia heshima bandari wateja watakimbia
kumi!Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam
Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini
Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa saba ila mzigo haujatoka mpaka leo nina simu za nokia pisi 1000 mzigo jna miezi mitatu haujatoka ingawa meli zilishusha tayari
Ninapoongea nimeanza kupewa tuhuma kuwa nimetapeli wateja wakati mizigo imefika na hawatoi
Bibafsi naomba mamlaka zifanye jitihada wanaivunjia heshima bandari wateja watakimbia
Kodi ipi? Sisi tunaosafirisha mizigo kupitia makampuni ya cargo bei tunayochajiwa ina conclude na kodi so swala la kodi sio jukumu langu mimiHakuna kitu kama hicho.
Mzee kalipe kodi hacha janja janja.
Sawa, we conclude tu, ukimaliza include kabisaKodi ipi? Sisi tunaosafirisha mizigo kupitia makampuni ya cargo bei tunayochajiwa ina conclude na kodi so swala la kodi sio jukumu langu mimi
Acha uongo mwambaaa achana na taarifa za kuambiwaBandarini hapo ni shida lukuki.kizimkazi pamoja na kuuza bandari yetu Kwa waarabu wake Kwa ahadi za uongo kuwa ataboresha huduma lakini ndiyo ubovu umeongezeka kuliko ilivyokuwa hapo awali.kwa Sasa wafanyabiashara wengi wa tz wanatumia bandari ya Mombasa Kwa usalama na uharaka wa mzigo.
Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam
Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini
Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa saba ila mzigo haujatoka mpaka leo nina simu za nokia pisi 1000 mzigo jna miezi mitatu haujatoka ingawa meli zilishusha tayari
Ninapoongea nimeanza kupewa tuhuma kuwa nimetapeli wateja wakati mizigo imefika na hawatoi
Bibafsi naomba mamlaka zifanye jitihada wanaivunjia heshima bandari wateja watakimbia
Kodi ipi? Sisi tunaosafirisha mizigo kupitia makampuni ya cargo bei tunayochajiwa ina conclude na kodi so swala la kodi sio jukumu langu mimi
Umewahi kutoa mzigo kwa jina lako kupitia bandari yoyote ile? Haya mambo sio ya kushabikia mkuu mengine sio ya kweli. Una Customs procedures za kutoa mzigo bandarini? Ukiulizwa mzigo una chelewa wapi bandarini una weza elezea? Una weza kuwa na case study ya mzigo wako ulio chelewa kuja na ulio wahi kufika kupitia hiyo bandari ulio tumia? una idadi ya wafanyabiashara walio hamia Mombasa? una fahamu garama na procedure za kutolea mzigo Mombasa badala ya Dar? Kama huna haya majibu huna haki ya kuendelea shabikia usiyo yajua kaa kimya.Bandarini hapo ni shida lukuki.kizimkazi pamoja na kuuza bandari yetu Kwa waarabu wake Kwa ahadi za uongo kuwa ataboresha huduma lakini ndiyo ubovu umeongezeka kuliko ilivyokuwa hapo awali.kwa Sasa wafanyabiashara wengi wa tz wanatumia bandari ya Mombasa Kwa usalama na uharaka wa mzigo.
JF Kila mtu mjuaji hata kwa yale wasio na utalaam nayo.Umewahi kutoa mzigo kwa jina lako kupitia bandari yoyote ile? Haya mambo sio ya kushabikia mkuu mengine sio ya kweli. Una Customs procedures za kutoa mzigo bandarini? Ukiulizwa mzigo una chelewa wapi bandarini una weza elezea? Una weza kuwa na case study ya mzigo wako ulio chelewa kuja na ulio wahi kufika kupitia hiyo bandari ulio tumia? una idadi ya wafanyabiashara walio hamia Mombasa? una fahamu garama na procedure za kutolea mzigo Mombasa badala ya Dar? Kama huna haya majibu huna haki ya kuendelea shabikia usiyo yajua kaa kimya.
Ndio mana tuna takiwa wanyosha mtu hana ajualo ila ana piga kelele kama vile kweli. Mimi niko hapa na subiri aje na majibu alileta mzigo gani kwa bandari ipi na alikwama wapi. Maana bandari ni kubwa na ina vitengo sasa akidhania wote tuna pokea kila taarifa wengine wako deep na usije kuta ni wafanyakazi pia hahahahah so aje aseme hapa ni bandari ipi na wapi alikwama ni mpe majibu yake.JF Kila mtu mjuaji hata kwa yale wasio na utalaam nayo.