Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,389
- 5,976
Sasa mkuu,pamoja na kosa la fundi,hamuoni kosa lake limeweza kuwapa nafasi ya kugundua kitu? Mpaka sasa,kuna yeyote anayejua changamoto hapo ni nini? Hapo amuite fundi,afumue vigae,waangalie kuna nini chini. Hata kama yangekuwa maji,yangeonekana kwenye hiyo mistari.Hizo tiles hazikuwekwa na fundi professional...! Nimegundua hilo baada ya picha moja kuonesha tofauti kubwa ya lines!
Pia hata uwe Groute, ama hawakutumia Groute yenye
Ubora ama hawakuweka kwa Utaalam!
Kwa sababu Groute ina cement na mchanganyiko mwingine ndani yake, uki apply vile inatakiwa, haiwezi kuruhusu maji mazito kama hayo kutoka ndani kuja nje, zaidi ungeona Groute ina unyevu tu.
Ndo mara ya kwanza kuona kitu kama hicho.
Uko sahihi...!Sasa mkuu,pamoja na kosa la fundi,hamuoni kosa lake limeweza kuwapa nafasi ya kugundua kitu? Mpaka sasa,kuna yeyote anayejua changamoto hapo ni nini? Hapo amuite fundi,afumue vigae,waangalie kuna nini chini. Hata kama yangekuwa maji,yangeonekana kwenye hiyo mistari.
Kwenye kupishana kwa mistari, mtamlaumu fundi bure. Hivi vigae vya siku hizi,haieleweki ni kwa nini,viwandani(kama wamo humu),wataelezea shida ni nini. Unachukua package,af badae unakuta havilingani. Hilo limetokea pia kwa mtu mmoja,bahati nzuri ni vile size ndogo vipo bafuni.
😂 😂 😂🤣🤣usikute hayo n machozi ya fundi aisee
Aisee pole mkuu. Ngoja wataalamu waje.Ndio mkuu,maji ni mengi,lakini hayo maji ambayo yanatoka kwenye hizo space sio maji ni mazito kama kamasi
Ni kweli kabisa mkuu, changamoto kubwa iliyotokea hapo ni vigae kutokuendana,yani fundi alihangaika sana wakati wa kuweka vilikuwa vinapishanaSasa mkuu,pamoja na kosa la fundi,hamuoni kosa lake limeweza kuwapa nafasi ya kugundua kitu? Mpaka sasa,kuna yeyote anayejua changamoto hapo ni nini? Hapo amuite fundi,afumue vigae,waangalie kuna nini chini. Hata kama yangekuwa maji,yangeonekana kwenye hiyo mistari.
Kwenye kupishana kwa mistari, mtamlaumu fundi bure. Hivi vigae vya siku hizi,haieleweki ni kwa nini,viwandani(kama wamo humu),wataelezea shida ni nini. Unachukua package,af badae unakuta havilingani. Hilo limetokea pia kwa mtu mmoja,bahati nzuri ni vile size ndogo vipo bafuni.
Hapo usipokuwepo utamlaum tu bule. Mara huenda amevikata,mara nini.Ni kweli kabisa mkuu, changamoto kubwa iliyotokea hapo ni vigae kutokuendana,yani fundi alihangaika sana wakati wa kuweka vilikuwa vinapishana
Tafuta hela kenge weweWataalamu wa ujenzi, nimeweka tiles nyumbani kwangu,lakini baada ya miezi miwili kupita vinatokea hivi vitu.
Ni kama maji lakini ni mazito kiasi yanavutika,yakikauka yanaacha rangi nyeupe,hata ukisafisha hayatoki kirahisi,yakitoka baada ya muda yanatoka tena.
Je shida inaweza kuwa ni nini.
Nb.Nyumba imepigwa jamvi,lakini dpm haijawekwa.
Picha zinajielezaView attachment 2831393View attachment 2831394View attachment 2831395View attachment 2831396View attachment 2831397View attachment 2831398View attachment 2831399
Mkuu uko sawa?,mbona unatukana watu pasipo sababu au kuna kitu nimekukosea brotherTafuta hela kenge wewe
JF hujaizoea? Huku kila mmoja anaandika anavyojisikia bhana. Ukichukia mbona utakonda. Omba usije jibiwa na bwana mmoja anaitwa GENTAMYCINEMkuu uko sawa?,mbona unatukana watu pasipo sababu au kuna kitu nimekukosea brother
Watu wengine wana matatizo makubwaJF hujaizoea? Huku kila mmoja anaandika anavyojisikia bhana. Ukichukia mbona utakonda. Omba usije jibiwa na bwana mmoja anaitwa GENTAMYCINE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo ni damu ya mazombi kaka muone mchawi mmoja au mshana atakusaidia tu
Akili yangu inaniambia hapo tatizo ni hiyo grout.Wataalamu wa ujenzi, nimeweka tiles nyumbani kwangu,lakini baada ya miezi miwili kupita vinatokea hivi vitu.
Ni kama maji lakini ni mazito kiasi yanavutika,yakikauka yanaacha rangi nyeupe,hata ukisafisha hayatoki kirahisi,yakitoka baada ya muda yanatoka tena.
Je shida inaweza kuwa ni nini.
Nb.Nyumba imepigwa jamvi,lakini dpm haijawekwa.
Picha zinajielezaView attachment 2831393View attachment 2831394View attachment 2831395View attachment 2831396View attachment 2831397View attachment 2831398View attachment 2831399
Kuwa mpole mkuu[emoji1787][emoji1787]Kila mtu kajenga na kafunga tiles kwenye uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23]