Changamkia viwanja vya bei rahisi jijini arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamkia viwanja vya bei rahisi jijini arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by diranqhe, Jul 14, 2012.

 1. d

  diranqhe JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 660
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  Viwanja vinapatikana Mbauda (Kwa mrombo) jijini Arusha, ukubwa kuanzia mita 15 kwa 10 na vipo mita 100 kutoka barabara kuu ya Oljoro kwa Tshs 3milioni na maelewano pia yapo. Mawasiliano 0757528827 Kumbuka kwamba bei ya viwanja hivi ni rahisi sana kwa hiyo ni jukumu lako kuwahi. KARIBUNI SANA
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  15x10 mitres ?

  banda la kuku hili
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaani jamaa kama tapeli fulani, hatoi maelezo kamili kama hajaenda shule.

  Elezea watu kuwa ninauza viwanja KwaMrombo - Mbauda havijapimwa 25 - 20m Tshs..... , 30 - 25m Tshs...... maelewano yapo.

  Kwa hiyo unayosema 15 - 10m 3ml ni bora nikanunue Kisongo nina uhakika wa kupata 25 - 20 hata kama nikiongeza kidogo ni bora.
   
 4. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  utapeli huu! Kuna jamaa yangu alinunua kiwanja huko kwa mrombo. Siku moja akaenda kukitembelea kile kiwanja.akakuta kumesha jengwa na mtu keshahamia nilishika mdomo kwa mshangao.
   
 5. B

  BABA SHALOMS New Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIYO BEI NI POA SANA KWA ARUSHA VIWANJA VIPO JUU SANA,.MIMI NINACHO PALE SANAWARI 17M X 20M BEI NI 7ml.

  Nitafute kwa namba hizi 0754324137.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wa kuelewa tushakuelewa.
  Je plots zenyewe zinafikika kwa barabara au ndo mpaka ununue barabara?
  Sema kama maongezi yapo.
   
Loading...