Changamkia fursa acha kulala

Wewe mpaka sasa daraja gani? Na umepata faida kiasi gani?
 
Wasukuma sikuhizi tumeelimika kweli,hata hizi deal tunapiga kumbe
Mkuu, tutake radhi Wasukuma. Sisi tunalima na kufuga ng'ombe japo tunaumia dhahabu yetu yote inaibwa. Lakini haujafikia hatua ya kufanya utapeli kama huu wa pyramid scheme. Yaani unatoa 20,000 halafu hela zinaanza kuzaliana tu. Maajabu ya karne!
 
Hizi biashara za hivo inahitaji ujitoe ufahamu hata kuzitangaza
 
Jaza ujazwe.
Desi Udesiliwe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ukitaka kula kwanza uliwe...... Watu aaaah!!!!!!! .....
Sina maaana hiyoooo......!!!!
 
Utajiri wa ndotoni ndio huu[emoji1]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Karibuni mpigwe.faida ya tatu.
Mil 25.
Muanzilishi yeye kesha ipata hyo mil 25?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…