Kwenye kipindi cha Magazeti Leo Asubuhi TV ya Chanel 10 wameamua kuvunja Sheria ya Kusoma vichwa vya habari vya Magazeti kwa Kusoma Habari inayo muhusu Mh.Makonda kwa ukamilifu tofauti na Amri iliyo tolewa na Mh.Waziri Mwakembe kuwa wanapaswa Kusoma vichwa vya Habari tu!
Najiuliza je Sheria siyo Msumeno tena? Kuna baadhi ya watu hawaguswi na Sheria hizi?
kwni mwa_embe na bashite katika nchi hiii nani ana nguvu zaidi?,hyo channel ni swahiba za bashite so huyo mwa_embe lazima atakaaa kimya vingnevo yatamkuta na NAPE