Mna haraka mno za kulalamika mbona mimi nimeona wameicover extensivelyWanaukumbi.
Chanel Ten wameweka ktk headline ktk habari juu ya Lowasa kujiunga CDM muda huu ila haijasomwa.
WAMETISHIWA?
Hta clouds wamesoma kinafiki habari ya lowasa na yule mtangazaji wao chizi!
Like..