Chanel Ten Vipi na Habari ya Lowassa?

Chanel Ten Vipi na Habari ya Lowassa?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanaukumbi.

Chanel Ten wameweka ktk headline ktk habari juu ya Lowasa kujiunga CDM muda huu ila haijasomwa.

WAMETISHIWA?
 
Ndo maana ya uhuru wa habari, si lazima unachopenda wewe waseme
 
Wanaukumbi.

Chanel Ten wameweka ktk headline ktk habari juu ya Lowasa kujiunga CDM muda huu ila haijasomwa.

WAMETISHIWA?

itakuwa, maana hata wakati wa press walikuwa live pamoja na star tv kisha baada ya dk kumi wakakata matangazo
 
ndo wanaenda kusoma mkuu.
Leo nina raha mno kesho narejesha likadi la CCM
 
Kuna mamlaka ya juu anbayo hata EL kashindwa kuitaja!!!ha ha ha!
 
Hta clouds wamesoma kinafiki habari ya lowasa na yule mtangazaji wao chizi!
 
Acheni kuishi kwa hisia taarifa imesomwa huo ni mpangilio wa habari tu
 
Wanaukumbi.

Chanel Ten wameweka ktk headline ktk habari juu ya Lowasa kujiunga CDM muda huu ila haijasomwa.

WAMETISHIWA?

Msomaji leo alikuwa ni Salim Mwalimu na alikuwa bado anapiga Selfie Bahari Beach na taarifa zote alikuwa nazo yeye ya tukio zima. Ngojeni kwanza akaoge kisha Saa 5 usiku ktk Habari yao atawaleteeni Taarifa ya Mpendwa Wenu " MFU ".
 
Back
Top Bottom