Chanel 10 na taarifa za mafuriko jijini Dar.

Chanel 10 na taarifa za mafuriko jijini Dar.

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
490
Jamani fungulieni kituo cha televission cha chanel 10 ili kupata taarifa na hali halisi ya athari ya mvua katika jiji la dar es salaam. USALAMA KWANZA.
 
jamani hizo mvua za dar ni kwa hisani ya watu wa marekani
 
wanafanya promo wapewe msaada...alaf wakishapewa haifiki misaada hiyo kwa walengwa
 
Mawazo yenu yamepokelewa. Ila naona wanachofanya ni kutoa tahadhari tu kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom