Hii siielewi! Kesi waliahirisha halafu wanasema wameshasikiliza rufaa,WAMESIKILIZIA WAPI? Huu ndo uchakafuzi tusioutaka
Hii siielewi! Kesi waliahirisha halafu wanasema wameshasikiliza rufaa,WAMESIKILIZIA WAPI? Huu ndo uchakafuzi tusioutaka
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu! Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.
Source: Tuongee Magazeti RFA
Tundu Lisu alimaliza msiba wa baba yake na kuwa dar na kesi ikasikilizwa wakati ilishahirishwa mpaka Oct 2. Hii haieleweki!
nina imani na majaji walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm kusikiliza kesi ya mtu aliyeitwa ikulu na mwenyekiti wa ccm kumuomba agombee arusha kwa tiketi ya ccm na akakataa...nina imani
Ngoja tusubiri tuone kila ki2 kitakuwa wazi.Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!
Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.
Source: Tuongee Magazeti RFA
Imani yako inautata! Hata hivyo naamini haki itatendeka na Lema atashinda!
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo
Hii siielewi! Kesi waliahirisha halafu wanasema wameshasikiliza rufaa,WAMESIKILIZIA WAPI? Huu ndo uchakafuzi tusioutaka
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!
Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.
Source: Tuongee Magazeti RFA