chancellors of universities | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chancellors of universities

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by marregal, Oct 8, 2011.

 1. marregal

  marregal Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni wazi kuwa wengi hatuwajui ma chancellors wa vyuo,, utakuta wengi wanaoonekana na kuhudhuria vishughulu ni vice chancellor, nkasikia chancellor wa udom ni Rais wa awamu ya tatu, vyuo vingine je? na kazi za hao ma chancellors ni nin haswa???? nitolewe ujinga na nielimike wana jf...:poapamoujah
   
 2. N

  NIMIMI Senior Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wa Udsm nasikia aitwa somebody Balozi. Ila kumwona ndo mpaka iweje vile.
   
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aah,kaka! Hata hapo ulipo miaka ile varsity
   
 4. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Chancellor ni cheo tu lakin hauhusiki na utendaji wa chuo kama malkia vile u.k..thats what a little knowledge i have..thanx
   
 5. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Chancellor ni cheo tu lakin hauhusiki na utendaji wa chuo kama malkia vile u.k(titular head)...thats what a little knowledge i have..thanx
   
 6. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  na kwa kawaida wanakuwa ni waliowah kuwa viongoz wa nchi, ila maranyingi huwa wanateua watu kuwashkia badala yao. Pale MUHAS naskia yupo Mwinyi.
   
 7. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kwa uelewa wangu Chancellor ni cheo ambacho mtu anapewa,na mara nyingi uwa wanapewa watu waliowahi kuwa na nyadhifa fulani za kisiasa. Mf. Chancellor wa Udom ni Mkapa,wa Udsm ni Balozi Kazaura na SUA ni Alnoor Kassam. Kwa ujumla ukitazama wote hawa ni watu ambao walikuwa na nyadhifa za juu serikalini. Na uwa hawausiki moja kwa moja na utendaji wa kila siku. Mara nyingi wanaonekana wakati wa mahafali.
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  just political leaders................my chancellor alikua mzee KADUMA,daah
   
 9. marregal

  marregal Member

  #9
  Oct 9, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Much thanx then,, am updated nw,, pamoujah':poa
   
 10. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu wa SUA nahisi anamiaka 150, kwani hata kwenye mahafali akija huwa anapotunuku wadau degree huwa hata kusimama hawezi kutokana na kuzeeka, ila mimi naona kazi zao ni pamoja na kudhihirisha watu kupata degree ndio maana huwa wanaonekana kwenye mahali tu!!
   
Loading...