CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Haruna Moshi katoka na kaingia Mgosi.

Dakika ya 41 kipindi cha kwanza, Tanzania 0 Senegal 1
 
Bado naamini Tanzania wanaweza kurudisha bao hilo na kushinda. Mgosi na Ngassa lazima atutoe kidedea leo. Leo lazima tucheze 'yeke yeke' kwa wale wanaokumbuka ngoma hiyo enzi hizo.
 
Kwa jinsi nilivyoona inabidi Starz wacheze mpira wa chini. Hawa jamaa wanachokifanya ni kutumia Senegal brand kuwatisha vijana wetu. Wasenegal wanakaba watatuwatatu. Ila Nafasi ipo ya kurudisha na hata kuwafunga kama vijana watacheza mpira wao na si kuwafuata hawa jamaa
 
Shem mimi hapa sioni kitu nacheck updates hapa JF!!
kikwete aliwaambia mrudi nyumani hamsikii......sasa ona unakosa uhondo....

.....mmi niko bar lakini mhh hawa wahudumu kaazi kweli....update ni kwamba Yanga watarudisha mashehe wetu wa JF wakina Xpasteer etal na makasisi mtindio na maxshimba wafanye juhudi kupekua misahafu
 
Back
Top Bottom