CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Mnaoangalia chondechonde updates muhimu,Mungu Akijaalia zikafika 2 Kabla ya ht naenda kuangalia
 
Kwa wale mnaopata ZBC, mechi ya stars inaoneshwa live, TBC wamekausha! Matokeo ni 0-0 mpaka sasa.

Dakika ya 23 bado milango ni migumu
============
Dakika ya 25, papara za Taifa stars zinaikosesha goli muhimu sasa wanashambuliwa wao
============
Dakika ya 28 Stars wanafanya shambulio zuri lakini mipango yao inagonga mwamba.
=========
Dakika ya 36 Stars wanapoteza nafasi baada ya Erasto kupiga faulo ambayo haikuzaa matunda

Gooooooooo,Uganda wanaandika goli lakwanza Dk 38

===========
Dakika ya 45, Msuva anakosa goli la wazi kabisa.
========
Mpira ni mapumziko, Stars iko nyuma kwa goli 1 Mfungaji wa Uganda ni Sekisambu.
 
Najua tutafungwa,kama kuangalia ni kujua tu magoli tutakayofungwa
 
Bado hamna mipango mizuri kwa timu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…