Sasa amepewa nafasi ya kuzunguka jimboni kwake analialia tena kwanza Afya yake hamruhusu majukumu makubwa ya Uwaziri tena aje jimboni huku akutane na nyuso za mbuzi ndio atakomaBora arudi jimboni kuja kutatua kero huku. Huyu bwana alibweteka sana na uwaziri. Mara tu baada ya kuteuliwa kuwa waziri alimtuma diwani mmoja kutoka kibosho azunguke jimboni kote kuwaeleza wananchi eti.... kutokana na mmbunge wetu kuteuliwa kuwa waziri, hatopata nafasi ya kutembelea tena wapiga kura wake. Badala yake huyo diwani ndo engekuwa anasikiliza matatizo yetu na kumpelekea chami! Sisi tukuchague wewe kuwa mbunge wetu... halafu wewe ukamchague mtu unayemtaka wewe kutuwakilisha???? Wapi na wapi. Sijawahi kusikia tokea nizaliwe!
Bora arudi jimboni kuja kutatua kero huku. Huyu bwana alibweteka sana na uwaziri. Mara tu baada ya kuteuliwa kuwa waziri alimtuma diwani mmoja kutoka kibosho azunguke jimboni kote kuwaeleza wananchi eti.... kutokana na mmbunge wetu kuteuliwa kuwa waziri, hatopata nafasi ya kutembelea tena wapiga kura wake. Badala yake huyo diwani ndo engekuwa anasikiliza matatizo yetu na kumpelekea chami! Sisi tukuchague wewe kuwa mbunge wetu... halafu wewe ukamchague mtu unayemtaka wewe kutuwakilisha???? Wapi na wapi. Sijawahi kusikia tokea nizaliwe!
Story nyingine Bw ! source yake huwezi jua labda hii ya ugonjwa ndio inaweza isimrudishe lkn kachangisha 50m kampelekea Mkuu wapi na wapi maana meneja wa kampeni ni shemeji yake na kiasi hicho hakikufika hata nusu.
Uwaziri ulitegemea @ mkoa au wilaya CCM ilikoshinda