Chameleone aokoka baada ya yaliyomsibu

Ha ha ha Kyeni Kikafu unanimaliza(sa) sana na iyo kauli ya "Kusunguka-sunguka" :):):)umeiweka kila post yako-Natwa Mbee:):):)!!!
 
mchukia Ufisadi,
sio kiswahili cha nchi jirani, ni cha mnyakyusa toka Masukulu, BTW kyeni kikafu maana yake ni kichwa ngumu kwa kinyakyusa nadhani niko sahihi nimedesa kwa mai waifu
 
It is very easy to know who is close to God and the likelihood of someone to become a tool to be used by God in His endeavours. Wanajituma sana lakini wanayo hofu juu ya Mungu hata kama wanatenda mabaya. Wanamuziki wengi wanaookoka ukifuatilia nyimbo zao kabla hawajaokoka utajifunza kitu hicho. Marijani Rajab, Enock Chidumule, Remi Ongala, Mzee Makassy, na sasa Chamelion na wengine wengi. Nyimbo zao za enzi za kale zinaelekeza watu kujifunza utu wema na uaminifu, sio matusi matusi ya kukurupukia. Wanakwepa sana kuhimiza tabia mbaya au ukatili. Nyimbo zao hata leo ukisikiliza bado ni bomba kimaadili. Hata Paulo japo alikuwa anawatesa wakristo wa enzi zile, alikuwa anafanya kwa nia ya kutimiza anachotumwa na wakubwa wake lakini ndani yake alikuwa na hofu juu ya Mungu kwa sana. Badala yake, angalia Murvin Gay (??) aliyekuwa mtoto wa mchungaji na akaamua kuimba sexual healing wimbo maarufu hadi leo. Asiuwawe nini? Tena na babake?

Sifa kwa Bwana kwa kusafisha njia ya Mr and Mrs Chamellion.
 
Jamaa ana kila sababu ya kuokoka maana yaliyomkuta ni balaa hebu check hizi picha;

ZUECHAM.JPG


chamilihosp.JPG

Chameleone was down and the nurses had to take charge when removing the metals from his feet
 
Miye namwombea avipige vita vya wokovu vizuri, wala asije akageuka njia hii nyofu aliyoichagua. Yeye aliyeianza kazi hiyo moyoni mwake, akaikamilishe, Jina la Bwana Litukuzwe.
 

Be blessed Chameleone na Mkeo. Yesu anawapenda.

Kwa wale wote wasiojuwa wapi wanakwenda, basi fuateni mfano wa Chameleone. Mlango bado upo wazi. Kwa sala ya toba, nenda jukwaa la dini, ipo sala huko itakayo kuongoza au PM Max.
:peep::peep::peep::peep::peep:
 
Back
Top Bottom