Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Kusini kuchele
Sasa mwenzio ataogopaje kushika msosi wakeYuko vizuri. Sababu mi kumshika huyo panya tu ni mtihani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanja umetuliaNimependa wanja wake, bado kidogo ufanane na ule unaoitwa "Mwana ukome" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Na kweli Mkuu.Sasa mwenzio ataogopaje kushika msosi wake
wapi hiodAAAH amenikumbusha nyumbani[emoji39][emoji39][emoji39]
Na wewe ukienda kusini taratibu utazoea tuuNa kweli Mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] rudi nyumbani kumenogadAAAH amenikumbusha nyumbani[emoji39][emoji39][emoji39]
mtwara mkuuwapi hio
Hapana aiseee. Uwiii naanzaje kuzowea kula panya mimi.Na wewe ukienda kusini taratibu utazoea tuu
mtwara mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kitu kikirostiwa vilivyo aisee unaanzaje kuchomoka weweHapana aiseee. Uwiii naanzaje kuzowea kula panya mimi.
twende tu nyumbani mkuu tukatimize jadi zetu, sio vizuri kukaa muda mrefu bila kula hii kitumaeneo gani
Huchomoki hapo mkuu , acha kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kitu kikirostiwa vilivyo aisee unaanzaje kuchomoka wewe